Recent content by beth

  1. beth

    Nifanyeje? Naona mtihani huu

    Asante kwa jibu lako zuri Tui
  2. beth

    Nifanyeje? Naona mtihani huu

    Dah Mkuu, si ningekua nishazitafuna zamani kama shida ni umasikini
  3. beth

    Nifanyeje? Naona mtihani huu

    Laki 2 mbona ndogo tu jamani
  4. beth

    Nifanyeje? Naona mtihani huu

    Asante sana Nifah kwa ushauri huu
  5. beth

    Nifanyeje? Naona mtihani huu

    Sio hivyo nahitaji msaada wa namna nishughulike na hili swala
  6. beth

    Nifanyeje? Naona mtihani huu

    Hawezi kuwa ameunganisha na kodi maana muda wa kodi bado sana
  7. beth

    Nifanyeje? Naona mtihani huu

    Habari za muda huu Wakuu, Wakuu mimi leo nina swali hapa maana nimekutana na kitu nimeshindwa kuelewa cha kufanya. Nimemwomba mpenzi wangu shilingi 50,000 ila akasema hana na ana 20,000/- hivyo ananitumia lakini katika kutuma amenitumia 200,000/- 😊 Unashauri nifanye nini?
  8. beth

    Papua New Guinea: Hali ya hatari yatangazwa Mji Mkuu baada ya maandamano na uporaji kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na malipo finyu

    Papua New Guinea imekusanya vikosi vya usalama baada ya uporaji na ghasia nchini kote. Ufinyu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha kumezua hali ya kufadhaika katika taifa hilo la Pasifiki Kusini Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape alitangaza hali ya hatari ya wiki mbili katika mji...
  9. beth

    Kuongezeka kwa Ujenzi wa Vituo vya Mafuta kwenye makazi ya watu Serikali inasubiri ya Morogoro yatokee ndio ichukue hatua?

    Naona umekurupuka kujibu bila kusoma, kuelewa na kutafakari. Uhusiano hapo ni idadi ya vifo vinavyoweza kutokea kwenye majanga ya mafuta na moto. Soma elewa, urikurupuke na kuropoka Mkuu
  10. beth

    Kuongezeka kwa Ujenzi wa Vituo vya Mafuta kwenye makazi ya watu Serikali inasubiri ya Morogoro yatokee ndio ichukue hatua?

    Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi? Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa jamii na Serikali sijui inaridhia ujenzi huu kwa namna gani? Sijui kwanini haifikirii? Nakumbuka...
  11. beth

    Siku ya Mazingira Duniani (Juni 05): Tumeshindwa kabisa kudhibiti uchafu wa taka za plastiki?

    Maadhimisho ya Siku hii hufanyika kila Juni 05, na kwa mwaka 2023 yanaangazia zaidi Uchafu wa Mazingira unaotokana na Taka za Plastiki, na jinsi ya kukabiliana nao Zaidi ya Tani Milioni 400 za Plastiki zinatengenezwa Duniani kila mwaka. Inakadiriwa kuwa, Tani Milioni 19 hadi 23 huishia...
  12. beth

    Ripoti: Idadi ya watu duniani inatarajiwa kufikia Bilioni 8.5 Mwaka 2030

    Kwa Mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) kufikia Novemba 2022, idadi ya Watu Duniani inakadiriwa kuwa Bilioni 8. Ongezeko la Watu katika Nchi nyingi zenye Uchumi wa Chini linakadiriwa kuongezeka mara mbili zaidi kati ya Mwaka 2022 na 2050 Kufikia Mwaka 2022, idadi ya Wanaume Duniani...
  13. beth

    Tuzo za Muziki Nchini: Maoni ya Wadau juu ya nini kifanyike ili kuongeza Tija, Mvuto na Kupunguza Malalamiko

    Wasanii mbali na kutoa burudani, wana mchango wao katika kuwaunganisha Wananchi pamoja. Pamoja na yote haya, muziki ni ajira yao, ndicho kinachowaingizia kipato na kuwawezesha kufanya shughuli mbalimbali Sasa siasa na mapichapicha yanapotokea kwenye Tuzo, inawavunja moyo kwa kiasi fulani...
  14. beth

    Aprili 6: Siku ya Kimataifa ya Michezo

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Michezo kwa Maendeleo na Amani ni fursa ya kutambua mchango chanya wa Michezo katika Jamii na Maisha yetu Michezo ina nguvu ya kuimarisha uhusiano katika Jamii, na kukuza Maendeleo endelevu, Amani pamoja na mshikamano wa watu wote Mbali na Michezo kuwa na...
  15. beth

    Unatumia mbinu gani kukabiliana na Stress za kazi?

    Stress kwasababu ya Kazi inapokuwa kubwa kupita kiasi, inaweza kukuathiri kimwili na kihisia Kwa watu wengi, sio rahisi kuepuka 'Stress' hata kama unapenda kile unachofanya Unarudi vipi kwenye mstari mambo "yanapokuwa mengi" kazini? ===== Work-related stress can get the best of us all...
Back
Top Bottom