Inaeleweka kwamba mwanafunzi anayepata chakula lishe shuleni humsaidia kuacha utoro, kuwa na afya njema ya akili na mwili, mimba za utotoni na ukatili mwingineo wa kijinsia, na usikivu mzuri darasani.
Takwimu zilizopo juu ya madhara ya kukosekana kwa chakula lishe zinatisha na zinatoa ishara...
Tunakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kazi iendelee!
Awali ya yote tunapenda kuchukua fursa hii kukutakia heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2023. Pia tunakupongeza kwa juhudi zako mbalimbali za kuliletea maendeleo Taifa.
Mh. Rais sisi watumishi wako katika kada ya...
Limeibuka kundi la wakosoaji na wasakamaji wasio na nyuzi za mashiko za hoja wanaobeza na kubagaza kila tendo jema ambalo Mh.Rais analivujia jasho kwa ajili ya Watanzania.
Wanafanya upotoshaji wa dhahiri kubwa ikiwa ni mbio za Urais 2025, kutaka kuonesha kama Rais anakosea na amesababisha ugumu...
Binafsi nimekua mfuatiliaji mkubwa wa utendaji kazi wa serikali hii y awamu ya sita kwenye sekta na miradi mbalimbali mtambuka hakika ni vema na haki kusema kwamba kasi ya Mh. Samia kwenye maendeleo inatisha. Kama kutakua na kata ambayo tangu Rais Samia ashike hatamu ya uongozi haijapata mradi...
Kipimo cha uwezo wa sehemu ya kazi hupimwa kwa kitu kinachoitwa Perfomance appraisal. Tangu ashike madaraka Rais wa Tanzania wa awamu ya sita ni wazi amescore credit zote 100.
Mosi kuweza kumaintain uendelezwaji wa miradi mikubwa ya kimkakati kama vile SGR na Bwawa la Nyerere huku makusanyo ya...
Kasi ya ustawi wa maendeleo na ujenzi wa Taifa imara imeendelea kuonekana katika uongozi huu madhubuti wa Serikali ya awamu ya Sita ya Mama yetu Mh. Rais Samia Suluhu.
Ujenzi wa miundombinu katika sekta za barabara,maji, nishati elimu na afya imeendelea kupamba moto kote nchini.
Kazi hiyo ni...
Kwa mujibu wa ilani yao chama cha mzee wa Ubelgiji ukurasa wa 84 ; wanasema wataweka BOND mbuga za wanyama, bandari, viwanja vya ndege bila kusahau ARDHI.
Kuna Changamoto kubwa ya uthaminishaji wa bidhaa za madini na maliasili nyingine.Nawaza sanaaa twiga zikianza Kupanda ndege tenaaa.
Kwenye...
HAKUNA HARUSI INAYOKOSA WASINDIKIZAJI NA WATANI
Ni kawaida Harusi yoyote inapofungwa lazima kuwe na wasindikizaji na watani wanaohanikiza na kuchangamsha sherehe nzima.
Hii ndio ni desturi nzuri ya Watanzania. Bwana Harusi aoae ni mmoja tu nae anajlikana, hawa wengine ni wasindikizaji na...
TUNAIONA MILIONI 50 KWA KILA KIJIJI/MTAA?
Na;
Augustino Chiwinga
(Sauti ya Korosho)
Mzazi anaweza fikiria kuwapa pesa watoto wake kila mmoja akaamue anachofanya, lakini mzazi anaweza pia akabadili uamuzi na kufanya kitu au jambo jingine lenye tija kwa watoto pengine hata na wajukuu.
Kata zina...
Na;
AUGUSTINO CHIWINGA
Nawiwa kusema hivyo kutokana na jinsi Serikali ya Awamu ya tano inavyoendelea kuisuka upya nchi kupitia miradi mbalimbali yenye tija inavyoendelea kutekelezwa kote nchini.
Serikali ya Awamu ya Tano kwa miaka mitano imevunja rekodi kwa kuidhinisha kiasi cha Tsh tril...
Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa.
Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
Tunakushauri ujifunze au ujaribu kuwa na heshima, ustaarabu na kuwa na Adabu kwa wazazi na viongozi wako wa nchi ambao wewe binafsi na familia yako mumenufaika mno na matunda ya CCM, usipandishe ukichaa, wehu na uchizi usio kuwa nao.
Kwa kuwa katika mambo 10 uliyojaribu kupotosha, kumchafua na...
Kwa muda kidogo nimeona watu wakishindwa kuelewa kwa nini Serikali ya Awamu ya Tano imekua "branded" na kauli ya Make Tanzania Great Again au MATAGA
Tujielekeze kwenye kuimulika miradi inayotekelezwa na Serikali hii.
Kuna aina mbili za miradi inayofanywa SERIKALI ya Awamu ya 5 katika...
Na;
Augustino Chiwinga.
Nakumbuka miaka ya 2000 aliyekua Waziri wa Ujenzi Mh.Dr.John Magufuli alipata kutamka kwamba itafikia kipindi watu wataweza kusafiri kutoka mkoani Mtwara mpaka Kagera kwa kutumia usafiri wa Taxi.
Alipotoa kauli hiyo baadhi walimshangaa sana na hata kufikia kusema hiyo...
Afisa Mtendaji wa Kata ya Rutamba Ndg.Augustino Chiwinga amepiga marufuku tabia ya baadhi ya wazazi kuwaachisha masomo wanafunzi hususani wa kike na kuwapeleka mijini hususani Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kufanya kazi za ndani.
Ameyasema hayo wakati wa kikao kilichowashirikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.