Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:-
Stationary
Secretary
Duka...
1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu...
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Kumb.Na.JA.9/259/01/A/539
24 Mei, 2024
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya...
Habari viongozi,
Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar, Nina ELIMU ya chuo kikuu na nimehairisha MWAKA kutokana na changamoto mbalimbali ila nahitaji kufanya KAZI itakayo nipa kipato ili...
Jamani ndugu Kwa unyenyekevu mkubwa nilikua naomba msaada kujua ni muda gani hasa wa kuripoti kwenye mafunzo ya upolisi na yatachukua muda gani Hadi kukamilika yeyote mwenye uelewa tafadhali🙏
Jamani ndugu kwa unyenyekevu mkubwa nilikua naomba msaada kujua ni muda gani hasa wa kuripoti kwenye mafunzo ya upolisi na yatachukua muda gani Hadi kukamilika.
Yeyote mwenye uelewa tafadhali🙏
Nakusalimu Kwa unyenyekevu, na Kumshukuru Mungu Kwa Uwepo Wako.
Ndugu Yangu Mimi ni kijana 27Yrs, Naishi kigamboni - Dar es salaam. Graduate wa Science in Education with ICT. Mbali na taaluma pia...
Location: TARIME
Industry: Banking (Microfinance)
DUTIES AND RESPONSIBILITIES.
Credit Officer Job Responsibilities:
-Marketing of loan products
-Meeting with clients interested in taking out a...
Wakuu najua humu ndani walimu ni wengi akiwemo mpwayungu village, mm ni kijana wenu natarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 4 nafundisha BIOLOGY NA GEOGRAPHY level ya elimu ni DEGREE.
Nahitaji...
Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa.
Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule...
Habari wakuu, natafuta kazi ya permanent au temporary.
Nina certificate ya laboratory technician level ll, pia nina experience ya miaka 2 ya quality control, quality assurance, lab technician na...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana umri miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya ubungo,natafuta KAZI ya udereva boda boda iwe ya mkataba au daywaka ,namba 0785598033, ila leseni sina japo...
Habari viongozi,
Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar es salaam mtaa wa External manispa ya Ubungo,
Naitaji MSADA kwa alie na piki piki ya mkataba au ya daywaka, pia ni mjuzi wa kuendesha ila...
Habari viongozi,
Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar es salaam mtaa wa External manispa ya Ubungo,
Naitaji MSADA kwa alie na piki piki ya mkataba au ya daywaka, pia ni mjuzi wa kuendesha ila...
Request For Proposals To Provide Consultancy Services
BACKGROUND
Young Africans Sports Club (“Yanga”) founded in 1935 is a professional football club based in Jangwani, Ilala District, Dar es...
Kama kichwa kinavojieleza natafuta kazi ya kuweza kujikimu, nina diploma ya uhasibu
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mawazo ya jinsi ya kujikwamua, mitihani ya utumishi nimeshafanya...
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa.
Mpango nilionao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.