Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Nyumba Ipo safi ina vyumba vitatu na Kimoja master ambacho kina AC, Jiko safi sebule na mazingira mtulivu, maji yapo na tank la maji Juu, Ipo mabatini ya kutoka Africa sana, lami mpaka getini, bei...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Chumba seble na choo kuna fance na geti bei yake kodi kwa mwezi mmoja ni sh 150,000 na kiasi hiki unaweza kulipia kuanzia miezi 3,6 au mwaka pia Maelezo mengine na ukitaka kuiona piga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
office ina vyumba vitatu ipo kwenye mazingiraa mazuri na salama ulinzi upo wa kutosha ipo karibu na City style Hotel hapa Dar es salam na pia karibu na kituo cha daladala cha Mawasiliano. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
895 Views
Nyumba ina chumba ambacho self na ina sebule na Jiko kwahiyo ni chumba self, sebule, Jiko na Choo LUKU inajitegemea na uzio upo na usalama wa KUTOSHA, maji yapo kila siku na ni ya DAWASCO, kodi...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Nyumba ziko mbili. Ya kwanza sh 350,000/= kwa mwezi na nyingine ni sh 300,000/=. Zote ziko ndani ya fence, self contained, Nyumba kubwa kiasi, room mbili za kulala,sebule,dining, jiko, stoo, zote...
0 Reactions
4 Replies
782 Views
Nyumba ipo Boko kituo cha chama au CCM, nyuma ya kanisa katoliki. Nyumba nzuri ndani ya wigo wenye waya za usalama, geti la kupendeza. Nyumba ina vyumba 4, one master bedroom, good parking lot for...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nyumba ina vyumba viwili, sebule Jiko, Choo, maji ya kutosha mpaka ndani, LUKU yako, Ipo ndani ya uzio na ipo kwenye compound (means upande) bei ni 350,000/ kwa mwezi maongezi yapo, Pia nyumba...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Salaam ndugu zangu wana JF labda zaidi wa Mtwara! Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses . Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
754 Views
Imepangishwa. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nimepewa jukumu la kutafuta nyumba kadhaa Geita zenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kupanga: 1. Yenye walau vyumba 2-3 2. Lazima kuwe na 2 bathrooms 3. Fence na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom