Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Napenda kuuliza ajira kwa sekta ya kilimo zinautaratibu gani
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000 Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari wana JF Hivi nilitaka kusaidiwa kitu kumoja. Kuna siku kuna kaka yangu mmoja anasoma civil engineering pale MUST mbeya. Alikuwa anataka kuapply mikopo kwa bodi ya mikopo na mwingine dada...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hizi ni tetesi, kama tetesi zinaweza kuaminika basi ziaminike. Kwanza, TCU hawaja release mwongozo wa Equivalents kwa kuwa GPA ya 3.5 inagomba. Hii ni kwa sababu regulation ya GPA haipo standard...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau kuna tetesi nimesikia toka kwa mtu wa karibu pale uhaziri tabora kuwa course ya procurement imefutwa..je kunaukweli wowote ktk hili..tafadhar kwa anayejua.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbambagwa
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Mnamo mwezi wa tano NACTE walifungua dirisha la Udahili ambapo wanafunzi kadhaa walilipia fedha ya usajili 50000/=. Guidebook waliyoitoa NACTE iliweka GPA 2.7 kama kiwango cha mwisho cha ufaulu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu. Hivi punde nimepata habari kua matokeo ya kidato cha sita 2016 yatatangazwa kesho ijumaa, tarehe 08/07/2016. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Pro. Joyce Ndalichako, wanafunzi waliosoma masomo...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari wanajf. Kuna taarifa zinazoenea kwa kazi miongoni mwa wanafunzi wanaosoma kozi ya stashahada ya juu ya Elimu (postgraduate diploma in education) kuwa ajira zao hazitakuwepo kuanzia sasa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
kunadogo hapa mtaani kapata 3point25 phy-d chem-c bio-c mathe-d na mengine dna cmoja somo la art saxa anauliza anaweza kuchaguliwa combi gan shule za serikal
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Tetesi ni mwezi April kaeni mkao wa kujiandaa!!!
1 Reactions
34 Replies
14K Views
Uozo na siasa zinazoendelea.. Ndugu wana jamii forum kwanza nasikitika Sana kwa serikali yetu kuendelea kufumbia macho chuo kikuu cha Kampala international university maana ni chuo ambacho...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Naomba mtu mwenye hii guideline anitumie maana kwenye website ya NacTe link yao haifunguki
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jaman Mwenye Pdf Ya Kitabu Cha Chemistry For Secondary School Book 3 Written By Sedrick Magasi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom