Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Maswali ya kujiuliza: Kunauhitaji gani wa hii project kwa sasa? Je, huu mradi ni kipaumbele cha Taifa? Je, ukitengenezwa huu mradi wa umeme na viwanda vikaamua kutumia nishati tofauti kama vile...
10 Reactions
90 Replies
14K Views
Mate, Habari. Kwenye familia zetu kumekua na nadharia inayosema kua watoto ambao ni wa kwanza kuzaliwa hasa watoto wa kiume kwamba hua hawana Akili, ni mapepe,ni watundu na mara nyingi hua hawana...
156 Reactions
540 Replies
75K Views
Habari wakuu. Leo nimeona nilete kwenu hii hoja kwa mfumo wa swali. Kama nililivyoliweka hapo kwenye heading kuhusu taswira au umbo lionekanalo kwa macho pale inavyowezekana, hawa viumbe ambao...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
natumaini wote wazima ndugu zangu wa jf intelligence, bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa husika cha mada kwanza kabisa naomba kujua kwanini injili ya barnaba...
9 Reactions
216 Replies
32K Views
Salamu wana jamvi, leo nimeona niwaletee chapisho linaloelezea kitabu maarufu sana cha hadithi kinachojulikana kama’’The DaVinci Code”. Kitabu hiki nimekisoma hivi karibuni nikaona si vibaya...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
IJUE NYOTA YAKO Nyota ni Elimu ya Sayansi ya kiroho ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika moja wapo ya nyota hizi 12...
29 Reactions
1K Replies
636K Views
According to Sadhguru. Unakubaliana naye?? Cc DR Mambo Jambo min -me
3 Reactions
8 Replies
719 Views
WAFAHAMU WANYAMA WENYE HESHIMA KUBWA DUNIANI. Katika uumbaji Mwenyezi Mungu aliumba viumbe wa aina nyingi sana, viumbe hao ni pamoja na ndege, samaki wakiwamo na wanyama pamoja na wadudu...
17 Reactions
32 Replies
11K Views
Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu. Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda...
3 Reactions
14 Replies
820 Views
I hope y'all are doing just fine, It has been long time since I was here[JF Inteligence] Kuna mtu alileta mada humu akiuliza kwamba picha inayotumiwa na wakristo hasa wakatoliki ya mtu mmoja...
84 Reactions
358 Replies
27K Views
Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee. Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Nchi zetu hizi mwanasiasa ana nguvu kuliko mtu yeyote, ndiyo maana anaweza asiwe na imani na CDF ikapigwa figisu akatolewa, au DGIS ikapigwa figisu akatoka, ama IGP inapigwa figisu anatoka.
2 Reactions
9 Replies
844 Views
Dunia ya sasa inaendeshwa kupitia kanuni za sayansi na teknolojia ambazo zilivumbuliwa na wanasayansi katika karne zilizopita. Kanuni hizi siamini kuwa zinazima ndoto ya uvumbuzi wa kanuni mpya...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakati wa vita baridi cold war pamoja na mashindano ya kutngeneza silaha kali duniani weapons race, mashirika ya ujasusi yalikua yakichuana vikali sana,hasa pande mbili kati ya USSR na USA.USSR...
26 Reactions
79 Replies
13K Views
Hakika! Hebu tujadili ulimwengu wa treni zenye umbo la kubana na kwa nini ni muhimu kwa kufikia kasi kubwa kama vile 200 km/saa. ## Treni Zenye Umbo la Kubana: Umuhimu wa Kasi ### 1. Umuhimu wa...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote...
2 Reactions
2 Replies
377 Views
Habari Wana JF. Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu. Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
CHERNOBYL SERIES(2019) Ni series inayoigiza hadithi ya maafa ya nuklia yaliyokea mnamo mwaka 1986 ndani ya iliyokuwa shilikisho la jamhuri ya kisovieti(USSR).Movie hii imekuwa ikipata sifa sana...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za jioni wana JF mada ya leo pia ni sensitive kidogo maana inagusa imani za watu ila kutokana na kuwepo hitaji la kuweka rekodi sawa nimeona nilete uzi huu ili tujifunze zaidi Na sababu...
61 Reactions
503 Replies
121K Views
Salute comrades NB: bandiko hili nimetumia maandiko ya biblia hata kama unaona haikuhusu nakusihi endelea kusoma unaweza pata kitu. Katika dunia yetu hii tumeona ni sentensi ya maneno kadhaa tu...
143 Reactions
425 Replies
51K Views
Back
Top Bottom