Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kuna jambo nimeliona katika hii miaka miwili ya fedha ya 2025 na 2026, sijui nini kimetokea kwenye baadhi ya taasisi za Serikali, lakini hali ya ukata ni ya kutisha sana. Kuna taasisi ukisikia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wakuu, Naomba mwenye uzoefu na hili jambo anipe mwongozo. Nataka kuweka umeme kwenye kakibanda changu lakini kutoka iliko nguvu hadi kibanda kuna uwezekano wa kuwa na nguzo 3...
2 Reactions
21 Replies
156 Views
Katika hali inayoonyesha kuwa pigo kwa utawala wa Rais Felix Tshisekedi wa DRC, Wananchi wa Congo 🇨🇩 wamemshangilia Rais Kabila wakati Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Jean Pierre Bemba akihutubia...
1 Reactions
4 Replies
63 Views
Ukishafanikiwa kimaisha hata kwa level ya kawaida tu kama kijana wa kiume , ni ngumu sana kutafuta mwenza sahihi wa maisha . Vijana wengi huishia tu kuwa watu wa usiku mmoja , kwa kuogopa...
33 Reactions
163 Replies
2K Views
Wanangu wa JF, kwanza kabla hamjaanza kunihukumu, naomba mjue kwamba leo nimefika hatua ambayo hata mimi mwenyewe nikijitambulisha naweza kujikataa! 😂😂😭 Yaani nimekaa hapa natafakari maisha...
7 Reactions
71 Replies
462 Views
Habari za wakati huu wapendwa, mimi naitwa PENDO GERVAS KALILO. Nilizaliwa mwezi Septemba mwaka 1993, Kahama. Kwa sasa ninamtafuta baba yangu mzazi ambaye anaitwa GERVAS KALILO. Sijawahi kumuona...
41 Reactions
136 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wakuu, wajomba na mashangazi, wapwa na binamu zangu. Ngoja nipitilize moja kwa moja kwenye mada, ningependa kufahamu kutoka kwa anaefahamu. Nifahamishe dawa sio ya tiba au ya...
4 Reactions
34 Replies
320 Views
Wakuu mimi ni bachela early 30 ndo naianza anza hivo, sijaoa, ila nnae mtoto wa kusingiziwa(nasema hivi kwa kuwa nilipewa taarifa tu kuwa nna mimba yako,nikakiona kichanga tu mpaka now mtoto ana...
5 Reactions
43 Replies
349 Views
Mange Kimambi anaota ndoto za mchana? Jana, Mange Kimambi alichapisha video akizungumzia uwezekano wa kuibuka kwa vikundi vya uasi nchini Tanzania kama M23. Ukweli ni kwamba, suala la majaribio...
10 Reactions
41 Replies
595 Views

FORUM STATS

Threads
2,101,164
Posts
56,360,354
Back
Top Bottom