0404
JF-Expert Member
- Oct 17, 2023
- 574
- 1,620
Hivi na yule mme wake ni shoga au,..yaani yy kila kitu kinachohusu mwanamke anatete meanwhile anakandia wanaume.Tulikosea sana kuipokea hii sera ya 50/50 mbaya zaidi jukumu la kuieneza tukawaachia mafeminia vilaza wa type ya joyce kiria.
Alafu nimeamini ndege wafananao huruka pamoja, mwanamke mikucha mirefu mikono yote, mwanaume nae haeleweki anasuka, dreads au bleach😁