Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 12,459
- 23,464
Haya sema vizuri sasa...Wote watano na nimejaribu mara tano kila dem mara moja cyo kama mmoja nimemtongoz mara hapan hujanielewa
๐๐๐๐
Haya sema vizuri sasa...Wote watano na nimejaribu mara tano kila dem mara moja cyo kama mmoja nimemtongoz mara hapan hujanielewa
Mwezi mtukufu huu..Tafuta mume uolewe
Me nilikua hivo aisee ulikua utoto niliacha maan nilikua naumia tu unamuamini mtu alafu unashangaa anakubali kirahisiSasa ili uwe na amani inakubidi uache kuwatongoza kwa namba ngeni..
Utakuwa vocal Kali sana.Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye mahusiano naye nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza kama mwanaume mwingine huwa wanakubalii kabisa kutoka na kimapenzi tena kwa kuona picha ambazo nawataumia wasapp ambazo ni za uongo
Kwakweli huu mchezo huwa nafanya kuona kama kweli mpenzi wangu ananipenda kweli au ananzingua tu ila cha kushangaza napigwa za uso
Mademu wote watano amabao nimejaribu kuwatongoza kupitia namba ngeni wote walikubali
Hivi hii jamanii imekaaje huwa inanitoa kwenye mahusiano sana kwasababu nakuwa na mtu ambaye simuamini kwa hiyo nakosa sana raha.
Siwez nahisi kama ananicheat
Uliona wapi malaya akakataa mwanamume mkuu? Malaya hachagui mbookila demu napokuwa kwenye mahusiano naye nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza kama mwanaume mwingine huwa wanakubalii
Ndauli beukitaka kumla bata uache kumchunguza, enewei mkuu nijaribu namim kwa io namba ngeni tuone.
Inanikumbusha kitambo tuko chuo, demu anasomeshwa na jamaa yake mfanyabiashara toka Mbeya. Siku jamaa ghafla anaingia campus kumsalimia mchumba, aliambulia za uso asijue zinakotoka, sema jamaa alikuwa stable sana. Akaachana na yule demu, hadi leo amekuwa jamaa yangu sana na kanipa ramani za kutosha hapa Mbeya.Kwani wewe sehemu za ku-invest umekosa hadi ukainvest kwa wanawake wenye wazazi wao?
Dizain yako ndiyo hupeleka wanawake shule kwa gharama zenu kama jamaa yangu 2017 alinifata ananiambia ameamua amsomeshe mkewe mambo ya afya juzi tumekutana msibani ananiambia mkewe wametengana baada ya kumletea mimba asiyoielewa kumbana akamwambia ni ya mwanafunzi mwenzake
Mimi Demu wangu simu ngeni hapokei na halibu sms, nilishawahi kutumia namba ngeni hakupokea wala kujibu sms miezi 3 nikachoka nikaacha kumtafuta.Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye mahusiano naye nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza kama mwanaume mwingine huwa wanakubalii kabisa kutoka na kimapenzi tena kwa kuona picha ambazo nawataumia wasapp ambazo ni za uongo
Kwakweli huu mchezo huwa nafanya kuona kama kweli mpenzi wangu ananipenda kweli au ananzingua tu ila cha kushangaza napigwa za uso
Mademu wote watano amabao nimejaribu kuwatongoza kupitia namba ngeni wote walikubali
Hivi hii jamanii imekaaje huwa inanitoa kwenye mahusiano sana kwasababu nakuwa na mtu ambaye simuamini kwa hiyo nakosa sana raha.
safi veya,,uli hwina ve myanguNdauli be