Habari wana jamii forum. Nina mtoto wangu wa kiume miaka 2 na nusu, mwanagu huyu anasumbuliwa mno mno na kifua na hata mafua.
Nimehangaika hospital nyingi anapewa madawa na kuchomwa sindano kwa udogo wake namuhurumia sana nimekuwa mtu wa mawazo sana sindano zinamuumiza hapa napoleta post...
Habari wana jamii forum. Nina mtoto wangu wa kiume miaka 2 na nusu, mwanagu huyu anasumbuliwa mno mno na kifua na hata mafua.
Nimehangaika hospital nyingi anapewa madawa na kuchomwa sindano kwa udogo wake namuhurumia sana nimekuwa mtu wa mawazo sana sindano zinamuumiza hapa napoleta post...
Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah.
Shuleni ni average sana...
Mtoto wangu ni mdogo ana miaka miwili na nusu.
Ndiyo alikuwa ameanza kuongea ila alikuwa anaongea kwa kutoa neno vizuri kabisa, ila sasa kama wiki hivi naona amekuwa na kigugumizi kwenye kuongea kwake.
Sasa nilikuwa naulizia kama kuna msaada anaweza kupata.
MWANANGU MWANASITI KIJINO KAMA CHIKICHI...
Laiti kama kuta zingekuwa na masikio.
Picha hiyo ya kwanza hapo ni Muthaiga Country Club, Nairobi mwaka wa 1989 niko na Ally Sykes (1926 - 2013).
Picha ya pili niko na Bilal Rehani Waikela (1932 - 2022) Magomeni Mapipa mwaka wa 2019.
Wote wawili...
Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini
1. Ukimuita jina lake hageuki
2. Anapiga makelele tu
3.kuna wakati Anakuwa anaziba masikio
4. Anatamka sauti zinazojirudiarudia lkn hazieleweki
5. Anapenda kuning'iniza...
Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne.
Nashukuru sana kwa wana Jf...
Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3. Kilicho nifanya nilete ujumbe huu hapa Jamii Forums ni kitendo cha dhulma kinacho taka kufanywa na shule...
Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na viongozi wa CHADEMA.
Ngoja nikusaidie kwakuwa nilikuwa kiongozi mwandamizi chamani kabla yako...
Nitahakikisha hilo. Nami nipo hapa Dar es Salaam kuhudhuria vikao vya chama changu CCM kama mmoja wa mwalikwa. Uridhike na ulichopewa chamani.
Ulipoteuliwa tu kuwa Mwenezi wa CCM, hima ukaanza tamaa ya Ukatibu Mkuu. Ukaratibu bila utaratibu wala kutubu mipango ya kuifanya nafasi ya Katibu Mkuu...
Wakuu habari,
Nilipata ushauri kufanya hiko kipimo(EEG TEST) kulingana na kadhia ya mwanangu, naomba kupatiwa jina la hospitali nitakayompeleka kwaajili ya hiko kipimo maana Anayo bima ya afya(NHIF).
Mbarikiwe
Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa.
Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16...
Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano mapenzi na Unafiki.
Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili na unayoyaandika hata mimi mzazi wako sijayafikia.
Yaani mzazi unakutana na mwanao kwenye mitaa ya...
Sina haja ya kumdhalikisha mtu hapa nipo kuusema ukweli hapa kuna mambo yananikera sana hapa na muhusika yupo hapa jukwani hii thread anaiona bila shaka hapa
Ally k wazazi wako wanachukizwa na hiyo tabia yako ya kuishi hapo kwenu wazazi wako wamenilalamikia kwamba unawanyima uhuru na halafu sie...
Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .
Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na...
Habari ya muda huu.
Mwanangu wa miezi 12 hajanza kutambaa, naombeni ushauri wenu ila alichelewa kulia wakati wakuzaliwa lakini pia degedege huwa inamsumbua.
Naombeni ushauri wenu namna ya kumsaidia inaniuma saana ndugu zangu.😭😭😭
Hakikisha uwe umeshamaliza kula huko huko kwako utokako au unakodoeaga kila siku ndiyo uje katika shughuli ya mwanangu.
Na ukija shughulini kwangu vinywaji ni mwendo tu wa juice za u-fresh kwa kwenda mbele kwa wageni waalikwa huku bia moja mkiwa mnashea watu watatu.
Kuhusu nyimbo ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.