fahamu

  1. Makamura

    Fahamu kuhusu Utapeli kwa Njia ya Phishing Attach (links, email, attachments)

    Habari wana jukwaa!.. Technology ikiwa inaendelea kukuwa na vijana wa hovyo hawajaachwa nyuma, kuna utapeli unafanyika leo nataka nikuelekeze kuhusu utapeli wa kutumia 'Phishing Attack'. Phishing Attack ni njia inayotumia kuiba taarifa nyeti ambazo ni siri ya mtumiaji husika, kama Back...
  2. A

    Fahamu Elimu Ya Usimamizi Wa Biashara

    Jamii Forum : Biashara 📊 Fahamu Elimu ya Usimamizi wa Biashara Itakuwa ni course ya Mchongo darasa lake ni hapa hapa Jamii Forum..... Tutaiita MBA ya Mchongo. Masters of Business Administration ya Mchongo. Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha biashara yako kwa wajukuu zako.... Wapo wengi...
  3. B

    Fahamu makundi ya generations kulingana na miaka watu waliyozaliwa. Je, upo kwenye kizazi gani?

    Habari zenu wanajukwaa.. Haya ndio makundi ya generations, namna yalivyokuwa grouped katika miaka watu waliyozaliwa, kuanzia mwaka 1901.. Kitu nilichonote ni kwamba wamegroup katika interval ya miaka 16 kwenye kila kizazi.. Kuna sources kadhaa zinazoelezea hivi vizazi, na nyingine...
  4. Bob Manson

    Fahamu Mbinu na vifaa vilivyotumika kutoa adhabu kwa wahalifu enzi za zamani. (Ancient torture methods)

    Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya wahalifu hao kusema na kutaja wenzao ambao walihusika katika uhalifu huo. Ancient rome, Greek, China, ni...
  5. Masokotz

    Fahamu Mbinu za Kupenya ktk Soko lenye Ushindani

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na shughuli za ujenzi wa Taifa. Kwanza kabisa nianza kwa kuanza kuwapongeza wote ambao mnapambania Biasha zenu.Mungu awasimamie na kuwapa Ushindi. Leo naleta mjadala unahusu eneo nyeti sana katika biashara.Eneo hili linahusu...
  6. mchawi wa kusini

    Fahamu kuhusu marekani Kaskazini,marekani Kusini,USA,Na Jimbo la ALASKA

    Habar Ya mchana JF nimewaletea Elimu Ya Kujifunza hapa. ELIMU YA BURE: FAHAMU KUHUSU MAREKANI KASKAZINI, MAREKANI KUSINI, USA, NA JIMBO LA ALASKA. ------------------------------------------------------- Naamini sote tunataka kufahamu vizuri kuhusu tofauti kijiogorafia kati ya Marekani...
  7. Masokotz

    Fahamu Tofauti kati ya Jina la Biashara na Kampuni

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mko salama na mnaendelea na shughuli mbalimbali za Ujenzi wa Taifa.Wakati ninapofanya kazi na watu ya kusimamia mchakato waowa usajili wa Kampuni na majina ya biashara huwa ninakutana na maswali mbalimbali kuhusu tofauti iliyoko kati ya Jina la...
  8. Masokotz

    Fahamu Kuhusu Taarifa za Fedha za Biashara

    Angalizo: Andiko Hili sio ushauri wa kitaalamu na wala sio mbadala wa ushauri wa kitaalam.Maudhui yaliyomo yanatokana na uelewa binafsi wa mwandishi.Ukihitaji ushauri kuhusu wa kitaalamu unaweza onana na muhasibu au mshauri wa kodi aliyesajiliwa na mamlaka husika. Utangulizi. Katika biashara...
  9. M

    Fahamu cha kufanya pindi unapovamiwa na adui mwenye silaha

    Fahamu cha kufanya pindi unapovamiwa na adui mwenye silaha.
  10. P

    Fahamu madhara/maudhi ya dawa za presha Captopril na Enalapril

    Captopril na enalapril ni dawa muhimu kwa watu wenye matatizo ya presha na kisukari. Maudhi ya dawa hizi ni pamoja na kikohozi kikavu, ambapo mgonjwa huanza kukohoa kikohozi kisichopona au kutulizwa na dawa za kikohozi. Katika tiba, mgonjwa anapaswa kurudi kwa daktari wake na kuelezea tatizo...
  11. P

    Fahamu madhara/maudhi ya dawa za presha Nifedipine na Amlodipine

    Amlodipine na nifedipine ni dawa za kawaida kwa watu wenye matatizo ya presha hapa nchini. Moja ya madhara muhimu ya dawa hizi ni kuvimba kwa miguu juu ya kifundo cha mguu (ankle edema). Matumizi ya dawa hizi yanaweza kusababisha miguu kuvimba, ambapo mgonjwa anaweza kufikiria amepatwa na...
  12. P

    Madhara/ maudhi yatokanayo na matumizi ya captopril, enalapril dawa za presha

    Captopril na enalapril ni dawa muhimu kwa watu wenye matatizo ya presha na kisukari. Maudhi:- Maudhi ya dawa hizi ni pamoja na kikohozi kikavu, ambapo mgonjwa huanza kukohoa kikohozi kisichopona au kutulizwa na dawa za kikohozi. Tiba:- Katika tiba, mgonjwa anapaswa kurudi kwa daktari wake na...
  13. Mufti kuku The Infinity

    Fahamu machache kuhusu Zakat Al Fitri

    Saumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan inapokaribia tamati, Waislamu huhitimisha ibada hiyo kwa kutoa Zakat al-Fitr, ambayo pia hujulikana kama Sadaqat al-Fitr au Zakat al-Fitrah. Hii ni sadaka ya lazima kutolewa kwa ajili ya maskini na wenye shida ili nao waweze kusherehekea Eid al-Fitr, sikukuu ya...
  14. Lady Whistledown

    Fahamu mawe ya kwenye Koo yanayosababisha harufu mbaya ya Kinywa

    Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika tishu hizo ( Tonsil) Mabaki hayo hubadilika na kuwa magumu hadi kutengeneza uchafu kama vimawe vidogo (Tonsil calculi /...
  15. Masokotz

    Fahamu Jinsi ya Kuchagua Jina la Biashara

    Kuchagua jina la biashara ni mchakato muhimu sana katika kuanzisha biashara yoyote. Jina la biashara lina uwezo wa kuwa nembo inayojulikana na kuitambulisha biashara yako kwa wateja na jamii kwa ujumla. Ni sehemu ya kwanza ambayo wateja wako wataiona na inaweza kuathiri jinsi wanavyoona biashara...
  16. Makamura

    Fahamu Sababu za Watu Wengi Hupata Stroke(Kiharusi) Bafuni

    Kawaida, nafasi za kupata Stroke (kiharusi) ni kubwa kutokea Bafuni kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaanzia Kichwani, ambayo ni njia mbaya. Ikiwa unaanzia kichwa kwanza, damu hupanda kwa haraka kichwani na mishipa ya damu inaweza Kupasuka. Hivyo Stoke(Kiharusi) hutokea na unakuta watu hujikuta...
  17. Masokotz

    Fahamu kuhusu Destination Marketing Business

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na juhudi zenu za ujenzi wa taifa. Leo ninawaletea mjadala kuhusu model ya biashara inayoitwa Destination Marketing Services(DMS).Kampuni zinazofanya shughuli hizi huitwa pia kama Destination Marketing Corporation(DMC)...
  18. Masokotz

    Fahamu kuhusu Employee Equity Incentive Plan

    Equity incentive plan ni mipango ya Motisha ya Ushiriki iliyoundwa na makampuni kutoa motisha kwa wafanyakazi wao kwa kutoa hisa au chaguo la kununua hisa kama sehemu ya malipo yao. Mipango hii inalenga kumfanya mfanyakazi ajisikie kuwa sehemu ya mafanikio ya kampuni na kumtia moyo kufanya kazi...
  19. Masokotz

    Fahamu kuhusu Kufilisika na Umaskini/Ufukara

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na jitihada zenu za kujenga uchumi binafsi na wa Taifa. Kwa heshima na taadhima kabisa nimeona leo nilete mjadala kuhusu Mtu aliyefilisika au kwa lugha ya mtaani Kufulia na Mtu Maskini/Fukara.Lengo la kuleta mjadala huu ni ili...
Back
Top Bottom