Recent content by aBuwash

  1. aBuwash

    Kwani ni lazima wauza nafaka wote jumla kuwa na mizani ile kubwa ya bei kubwa, hizi za digital hazifai kupimia magunia?

    Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii. Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
  2. aBuwash

    Nahitaji dalali wa fremu Mbagala kwa ajili ya nafaka

    Naomba mtu yeyote anayemfaham dalali Mbagala awekee mawasiliano yake hapo chini nashida na fremu ILA IWE RANGI TATU PALE
  3. aBuwash

    Hivi kati ya Mbagala, Gongo la Mbotoa na Mbezi Mwisho sehemu gani kuna mzunguko mkubwa wa pesa

    Umenena kamand afu hajiulizi kwa nini bakhersa na moo wamewekeza huko kwambaje hao nao wenyewe ni kajamba nani
  4. aBuwash

    Hivi kati ya Mbagala, Gongo la Mbotoa na Mbezi Mwisho sehemu gani kuna mzunguko mkubwa wa pesa

    Lakini jamani na gongolamboto kwenyewe mnakufahamu oyaaa sio powa
  5. aBuwash

    Hivi kati ya Mbagala, Gongo la Mbotoa na Mbezi Mwisho sehemu gani kuna mzunguko mkubwa wa pesa

    Sawa iyo kila maharii ila inabid uangalie sehemu yeny uhakika wa biashara
  6. aBuwash

    Hivi kati ya Mbagala, Gongo la Mbotoa na Mbezi Mwisho sehemu gani kuna mzunguko mkubwa wa pesa

    Nimeenda leo ni balaaa kunanichangany aisee nimeona watu wanapiga pesa balaaa
  7. aBuwash

    Hivi kati ya Mbagala, Gongo la Mbotoa na Mbezi Mwisho sehemu gani kuna mzunguko mkubwa wa pesa

    Habrin wanajf, Swali langu ni kama hivo lilivyo naomba tujuzane kwa mwenye uelewa. ZINGATIENI NATAKA KUFUNGUA DUKA LA NAFAKA. Kwa hizo location ipi itafit hapo
  8. aBuwash

    Tanasha (aliyekuwa mwanamke wa Diamond Platnumz) afanya surgery ya lips

    Kumbe wenye lips kubwa tunaonewa wivu
Back
Top Bottom