Hao wa huko kwenu mnawaita "washihiri" au wana majina yao?.Kwa nini utumie asili yake kama jina huku unajua jina lake?Kwahiyo Mo sio mhindi ?
Hao wa huko kwenu mnawaita "washihiri" au wana majina yao?.Kwa nini utumie asili yake kama jina huku unajua jina lake?Kwahiyo Mo sio mhindi ?
Madhara yake mabaya sana. Kwa wanaume mbooinasinyaa na wanawake wanakosa hamu ya mapenzi.
HojaKinachofanya watu wanywe sana ni bei ndogo,hivyo wengi wamekimbia soda na kukimbilia kwenye 500
Huyo jamaa Si muhindi au ,??? Usilete censorship jf ,Wacha mwamba atoe point yake atakavo , you either affirm or avver ,political correctness hamna hapa ,kila mtu awe huru,mie ni mwafrika hasa mweusi ,kuniita black itakuwa crime vp ???yule ni mhindi at the end of the dayMaelezo mazuri But meharibu tu kumuita Mo "Muhindi"
Hiyo ni racism.
Ushasoma na umeelewa...Punguza kuandika magazeti, hii weekend anyway ntasoma J3
Vijana wa Mwamedi mna hasira sana, pale anapoguswa bosi wenu! Yaani hamtaki kabisa watu kujadili ishu yoyote ile inayomgusa.Ukweli upi?Wewe kinachokusumbua nini?Wewe sio mwanachama wala mpenzi wa Simba.Kinachokuuma ni nini haswa?Kuna pesa yako inatumika?Wanachama na wapenzi wanamkubali wewe kiherehere cha nini kama sio chuki?
Si umjadili anayekusaidia wewe.We kazi kuhangaika na mtu ambaye hata hakujui.Petty minds discuss people. Hiyo nguvu unayotumia ku discuss Mo ungetumia kutafuta pesa usingekuwa bado maskini.Au alikunyima kazi ?This is too personal.Vijana wa Mwamedi mna hasira sana, pale anapoguswa bosi wenu! Yaani hamtaki kabisa watu kujadili ishu yoyote ile inayomgusa.
YesUMASIKINI NA KUKATA TAMAA
Kama unashinda ofcin kwenye viyoyozi ,unatoka ofcin unapanda gari mpaka nyumbani ,...
Hujawahi kutembea Kwa mguu ..
Mazoezi hufanyi ...
Kazi ngumu hufanyi,kulima ,kupalilia ,kutengeneza bustani ...
Mpira huchezi ...
HUWEZI JUA UMUHIMU WA MO ENERGY HIVYO BASI TULIA .......
Sisi tunaopiga kazi ngumu daily ,tunapoteza maji mengi , energy kubwa inapotea ,kiasi kwamba mwili unahitaji sukari ,maji ,na chakula Kwa wingi ukipiga mo extra unajihisi safii kabisa
Nyie wazee mnaokula Kwa kasain makaratasi ofcin ,endeleni kunywa juici za maembe na chip's mayai,soseji maana hata uwezo wa kula ugali Dona hamuwezi , mwili hauna huo uwezo ...
Kwani kumuita mtu kwa asili yake ni makosa?Hao wa huko kwenu mnawaita "washihiri" au wana majina yao?.Kwa nini utumie asili yake kama jina huku unajua jina lake?
Energy 💪Kuna mahali nje ya mji wanazinywa mby, mtaa mzima umechafuka makopo ya energy na mo exra wateja ni vijana
Wakifanya kazi kidogo hao dukani
Watu wanajiendekeza na wanaita sana upumbavu.Habari zenu wakuu,
Kumekuwa na wimbi kubwa la rika lote la watu katika jamii ya Kitanzania kupendelea zaidi kinywaji cha "Mo Extra" kiukweli nilikuwa naomba tupeane shule kwanini hiki kinywaji ukinywa kinaleta hali fulanj ya kutamani kuendelea kunywa mara kwa mara (addicted)
MO Dewji anasema bidhaa inayofanya vizuri Sokoni kwasasa ni MO EXTRA (energy drink) anauza JUMLA YA CHUPA BILION kwa mwaka wastani wa chupa milion 3 Kwa siku. Malengo yake ni kuuza CHUPA BILION 3.5 kwanzia mwaka 2024. Kwahyo Kwawasitani anapata 1 bilion Kwa siku includes production cost & Marketing cost.
Swali langu, je hiki kinywaji hakina madhara yoyote nje na kuwa na ununuaji mwingi kwa Watanzania?
Hivi inawezekana kumuuliza chui kuna madhara ya kula nyama ya Swala?Ingefaa kama ungewauliza hao wahusika. Ni ushauri tu.
Yes ni energy drink sawa tuu na RedbullKwani Mo extra ni energy drink?
Mbaya zaidi ni kwamba hiyo MO energy wanaichanganya na hizi Smart gin za buku bukuKuna mahali nje ya mji wanazinywa mby, mtaa mzima umechafuka makopo ya energy na mo exra wateja ni vijana
Wakifanya kazi kidogo hao dukani