Ongezeko la wanywaji wa Mo Extra (energy drink) limesababishwa na nini?

Ni kweli anauza 3 million bottles kwa siku ?

TRA inabidi wamfanyie assesment, maana moja kwa moja inaashiria anafanya TBL numbers, ila cha ajabu haongozi kwa kulipa kodi .

Vilevile energy drinks zote zina caffeine, hii caffeine ndio inaleta addiction kama kwa wale watumiaji wa kahawa.

Vijana tujitahidi tunywe maji ya kutosha,huyu mhindi unakuta yeye hanywi energy anazoziuza.
Siku hizi viwanda vyote vimefungwa mashine kila chupa hurekodiwa, TRA wanapata chao mapema kabla.

Afu hawezi danganya sababu atajiumiza kwenye kodi
 
Habari zenu wakuu,

Kumekuwa na wimbi kubwa la rika lote la watu katika jamii ya Kitanzania kupendelea zaidi kinywaji cha "Mo Extra" kiukweli nilikuwa naomba tupeane shule kwanini hiki kinywaji ukinywa kinaleta hali fulanj ya kutamani kuendelea kunywa mara kwa mara (addicted)

MO Dewji anasema bidhaa inayofanya vizuri Sokoni kwasasa ni MO EXTRA (energy drink) anauza JUMLA YA CHUPA BILION kwa mwaka wastani wa chupa milion 3 Kwa siku. Malengo yake ni kuuza CHUPA BILION 3.5 kwanzia mwaka 2024. Kwahyo Kwawasitani anapata 1 bilion Kwa siku includes production cost & Marketing cost.

Swali langu, je hiki kinywaji hakina madhara yoyote nje na kuwa na ununuaji mwingi kwa Watanzania?
Mtu Akiwa shamba anatumia hiyo kitu na kulima au kupalilia kwa speed ya 6G,ila the end is all being weak.
 
Mhindi wenu janja janja ataendelea kuwapiga mpaka mnyooke kama rula. Hamuendi kokote nyinyi mbumbumbu.

Na mkumbuke pia kuacha kunywa mara moja hizo takataka zake. Maana mtakufa kabla ya wakati wenu. Huwezi mtu kuwa na akili zako timamu, halafu ukanywa energy drink. Ni wendawazimu pekee ndiyo wanaokunywa hizo takataka.
Kunywa mnazi.Hela yako mpaka uuze pears ndio ule. Msambaa kuchukia tajiri hakukuondolei umaskini.Wacha chuki.Chuki haijawahi kumsaidia yeyote.
 
Habari zenu wakuu,

Kumekuwa na wimbi kubwa la rika lote la watu katika jamii ya Kitanzania kupendelea zaidi kinywaji cha "Mo Extra" kiukweli nilikuwa naomba tupeane shule kwanini hiki kinywaji ukinywa kinaleta hali fulanj ya kutamani kuendelea kunywa mara kwa mara (addicted)

MO Dewji anasema bidhaa inayofanya vizuri Sokoni kwasasa ni MO EXTRA (energy drink) anauza JUMLA YA CHUPA BILION kwa mwaka wastani wa chupa milion 3 Kwa siku. Malengo yake ni kuuza CHUPA BILION 3.5 kwanzia mwaka 2024. Kwahyo Kwawasitani anapata 1 bilion Kwa siku includes production cost & Marketing cost.

Swali langu, je hiki kinywaji hakina madhara yoyote nje na kuwa na ununuaji mwingi kwa Watanzania?
Ni mkumbo tu hakuna jipya..
 
Acheni kunywa sumu za kujitakia. Kataa energy drinks! Kataa soda aina zote! Kunywa baji mengi, ili uishi maisha poa hapa duniani.
Una uhuru wa kunywa unachokitaka mradi hauvunji sheria za Nchi.Ninachopinga unapotoka nje ya mada na kuleta chuki kwenye mambo yasiohusiana na vinywaji. Chuki inaleta sonona na ugonjwa wa moyo.Huyo unayemchukia hata hakujui unaumia wewe tu.
 
Tofautisha kati ya ukweli na chuki! Mimi nimchukie huyo mwekezaji wenu kwa lipi hasa?
Ukweli upi?Wewe kinachokusumbua nini?Wewe sio mwanachama wala mpenzi wa Simba.Kinachokuuma ni nini haswa?Kuna pesa yako inatumika?Wanachama na wapenzi wanamkubali wewe kiherehere cha nini kama sio chuki?
 
Mbona povu kama umekamata ugoni? Kisa umeona jina Simba umechefukwa..nani anakunywa sasa hapo unaemwambia?? Mm sijawahi na sitakuja kunywa hayo madudu..wanaokunywa wacha wanywe kwa their own risks..mimi nimeongea kwa kuwabeza tuu wanaotumia...sasa naona unanipovukia kama mm ndo nimekosa nguvu za kiume ebooo....
Kweli umekosa hata akili moja ya kutambua naongea nini hapo...
Halafu kila kitu kina risk zake unajiona mjanja kuwatukana wanywa energy wakati ww kwa siku unamaliza soda 3...
Kila kitu kinahitaji moderation..wangekua wanakunywa atleast moja kwa siku mtu anapiga hata 4....that's nonsense...
Sijui zinanogaje aisee akili imegoma hata kutaste kun vinywaji vinauzwaga mpk leo sijui ladha zake...
Punguza kuandika magazeti, hii weekend anyway ntasoma J3
 
Habari zenu wakuu,

Kumekuwa na wimbi kubwa la rika lote la watu katika jamii ya Kitanzania kupendelea zaidi kinywaji cha "Mo Extra" kiukweli nilikuwa naomba tupeane shule kwanini hiki kinywaji ukinywa kinaleta hali fulanj ya kutamani kuendelea kunywa mara kwa mara (addicted)

MO Dewji anasema bidhaa inayofanya vizuri Sokoni kwasasa ni MO EXTRA (energy drink) anauza JUMLA YA CHUPA BILION kwa mwaka wastani wa chupa milion 3 Kwa siku. Malengo yake ni kuuza CHUPA BILION 3.5 kwanzia mwaka 2024. Kwahyo Kwawasitani anapata 1 bilion Kwa siku includes production cost & Marketing cost.

Swali langu, je hiki kinywaji hakina madhara yoyote nje na kuwa na ununuaji mwingi kwa Watanzania?
Umesahau kwamba Mo Extra iko kwenye jezi ya Simba Sports Club ulitegemea isiwe best selling soft drink kwa mileage ile ??.

Ladha yake ni addictive
 
Back
Top Bottom