Ongezeko la wanywaji wa Mo Extra (energy drink) limesababishwa na nini?

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
854
1,896
Habari zenu wakuu,

Kumekuwa na wimbi kubwa la rika lote la watu katika jamii ya Kitanzania kupendelea zaidi kinywaji cha "Mo Extra" kiukweli nilikuwa naomba tupeane shule kwanini hiki kinywaji ukinywa kinaleta hali fulanj ya kutamani kuendelea kunywa mara kwa mara (addicted)

MO Dewji anasema bidhaa inayofanya vizuri Sokoni kwasasa ni MO EXTRA (energy drink) anauza JUMLA YA CHUPA BILION kwa mwaka wastani wa chupa milion 3 Kwa siku. Malengo yake ni kuuza CHUPA BILION 3.5 kwanzia mwaka 2024. Kwahyo Kwawasitani anapata 1 bilion Kwa siku includes production cost & Marketing cost.

Swali langu, je hiki kinywaji hakina madhara yoyote nje na kuwa na ununuaji mwingi kwa Watanzania?
 
Habari zenu wakuu,

Kumekuwa na wimbi kubwa la rika lote la watu katika jamii ya Kitanzania kupendelea zaidi kinywaji cha "Mo Extra" kiukweli nilikuwa naomba tupeane shule kwanini hiki kinywaji ...

Swali langu, je hiki kinywaji hakina madhara yoyote nje na kuwa na ununuaji mwingi kwa Watanzania?
Dah Mo Biashara imemkubali chupa m3 kwa siku siyo mchezo hata coca-cola na Pepsi hawafika. Hongera sana namuombea azidishe jinsi alivyopanga ili azalishe ajira nyingi na kulipa serikali kodi Zaid.
 
Ni kweli anauza 3 million bottles kwa siku ?

TRA inabidi wamfanyie assesment, maana moja kwa moja inaashiria anafanya TBL numbers, ila cha ajabu haongozi kwa kulipa kodi .

Vilevile energy drinks zote zina caffeine, hii caffeine ndio inaleta addiction kama kwa wale watumiaji wa kahawa.

Vijana tujitahidi tunywe maji ya kutosha,huyu mhindi unakuta yeye hanywi energy anazoziuza.
 
Habari zenu wakuu,

Kumekuwa na wimbi kubwa la rika lote la watu katika jamii ya Kitanzania kupendelea zaidi kinywaji cha "Mo Extra" kiukweli nilikuwa naomba tupeane shule kwanini hiki kinywaji ukinywa kinaleta...
Kile kinywaji kina addiction ukikizoea ni kama kupiga puri ngumu kukiacha. Ilifika muda nakunywa hata 5 kwa siku mapigo ya moyo yananienda mbio.

Nikikikosa napata arosto. Nashukuru Mungu ni zaidi ya mwaka nimeacha kutumia na situmii energy yoyote na nilijitahidi ku detoxify mwili.
 
Back
Top Bottom