Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna kazi niliomba, status inasoma " not shortlisted, CERTIFICATE NOT ATTACHED".

Inashangaza wakati kwenye academic and proffessional qualifications nimeattach vyeti vyote.
Mnadhani tatizo ni nini?
 
Wapigie wakwambie cheti gani hakipo...kama vipo vyote wakuweke kweny majina ya nyongeza
 
Kuna kazi niliomba, status inasoma " not shortlisted, CERTIFICATE NOT ATTACHED".

Inashangaza wakati kwenye academic and proffessional qualifications nimeattach vyeti vyote.
Mnadhani tatizo ni nini?
Mimi pia jumanne tuu nimepiga oral ila Leo hawajaniita kwenye usaili wameniandikia NOT SHORTLISTED CSE CERTIFICATE ARE NOT CERTIFIED wakati Tangia day one vyeti vyangu vyote nimecertified na interview zote huaga wananiitaga,,,,,,Naomba mwenye namba zao anisaidiee niwapigie
 
Back
Top Bottom