Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,868
- 15,252
Kwa sababu kuna RedBull? Achaneni na propaganda hakuna kitu kama hicho 😂Inatanua moyo. Achana nayo.
Kwa sababu kuna RedBull? Achaneni na propaganda hakuna kitu kama hicho 😂Inatanua moyo. Achana nayo.
Mishikaki ya 200 miaka hii? Hapana kwa kweli hiyo haifai kabisaDaaah mm naionaga tuu sijawahi kuwaza kuila..
Tumekunywa sana ile Chibuku ipo kama togwaWengine tunakunywa togwa.
Huyu mkenya dr Namugari yy anaiswampula tuuMishikaki ya 200 miaka hii? Hapana kwa kweli hiyo haifai kabisa
Unashinda njaa ??Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia
Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku
Leo Sina pesa kabisa ya kula.
Asanteni
Anakula mizoga huyo 😂😂😂Huyu mkenya dr Namugari yy anaiswampula tuu
Siyo umemtoa Kweli kafaraNdugu acha hii kitu, kuna fundi alifia kwangu ile siku kabla Idd baada tu ya kunywa Energy,
Alikuwa anafanya kazi kwangu ya ujenzi muda wa kufuturu alikuwa anakunywa Azam Energy kabla hata ya kuimaliza tukaona mtu amekaa chini akilalamika anajisikia vibaya mwili hauna nguvu, anatokwa na jasho, ikabidi tumkimbize zaanati ya karibu ndipo tunapewa taarifa ameshaagana na roho, mpaka hivi leo siko sawa kabisa.
Ndio leo nimesema sijapiga pesa ila ukweli Nina wazo la biashara Bomba San 😂 ila Sina pesa za kula leoUnashinda njaa ??
Wakati nimeona mahali unasema una business idea ya kutengeneza pesa ndefu.
Haki vile dodoma mishakaki ya Mia mbili ipoMishikaki ya 200 miaka hii? Hapana kwa kweli hiyo haifai kabisa
Haki vile dodoma mishakaki ya Mia mbiliMishikaki ya 200 miaka hii? Hapana kwa kweli hiyo haifai kabisa
Nikopeshe ilo wazo ntakulipa mdogo mdogo hiyo 200kNdio leo nimesema sijapiga pesa ila ukweli Nina wazo la biashara Bomba San 😂 ila Sina pesa za kula leo
🤣🤣🤣 Siku ikienda hvhvi nitasimama Hapo swaswa kwa Musa kdgHuyu mkenya dr Namugari yy anaiswampula tuu
Hapn kwa kweli cash ndio nahitajiNikopeshe ilo wazo ntakulipa mdogo mdogo hiyo 200k
Sasa mueleze huyu bwana kuwa dodoma kuna mishikaki Hadi ya Mia mbili na iko center kbsaa 🤣🤣🤣Daaah mm naionaga tuu sijawahi kuwaza kuila..
Nyauuuunyauuuuu...... Wamepotea sana kitaaa na wooooowooooo.....Mishikaki ya 200 miaka hii? Hapana kwa kweli hiyo haifai kabisa
HaaaSiyo umemtoa Kweli kafara
Mimi ni moja tu, zikiwa mbili basi nitakunywa sana majiIla uzizidishe mkuu leo Sina njaa kabisa