Kumbe ukinywa energy drinks huwezi sikia njaa

Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia

Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku

Leo Sina pesa kabisa ya kula.

Asanteni
Ndugu acha hii kitu, kuna fundi alifia kwangu ile siku kabla Idd baada tu ya kunywa Energy,

Alikuwa anafanya kazi kwangu ya ujenzi muda wa kufuturu alikuwa anakunywa Azam Energy kabla hata ya kuimaliza tukaona mtu amekaa chini akilalamika anajisikia vibaya mwili hauna nguvu, anatokwa na jasho, ikabidi tumkimbize zaanati ya karibu ndipo tunapewa taarifa ameshaagana na roho, mpaka hivi leo siko sawa kabisa.
 
Alikuwa amefunga?
 
Back
Top Bottom