Gesi za kampuni gani zina mzunguko mkubwa?

Real polycarp

New Member
Dec 9, 2023
2
10
Habari za muda huu ndugu zangu.

Samahani nilikuwa naomba msaada wa Maoni kutoka kwenu Nina duka ila kuna biashara ya gas nilikuwa Nataka nianzishe sasa nilikuwa naomba kuuliza kuwa Kati ya gas zifuatazo gasi ipi hapo Ina mzunguko mkubwa kwenye utokaji
1. Oryx
2. Taifa/Mihan
3. O gas
 
TAIFA
LAKE GAS
ORYX
 
Ukianza kutafuta NI Gesi gan inatoka Sana utakuwa unakosea Sana , mm nauza ges almost Nina miaka 5 sasa , labda nikuambie kama unataka kujua gesi inayotoka Sana Basi angalia hapo mtaan kwako wanatumia Gesi za kampun ipi , then ukishajua Basi chukua mzgo WA hiyo kampun ,
Kingine angalia wanaouza ges mitungi Mingi wameweka ya kampun Gani , hapo itakusaidia kujua Hilo Eneo watumiaji wengi wapo kampun Gani ..

Kuna Eneo oryx NI wametawala Sana
Kuna Eneo Oges imetawala Sana
Kuna Eneo lake huwaambii kitu
Kuna Eneo puma wamekamata Sana
Wewe Fuata upepo unakovuma , usijichanganye kuleta kampuni ngeni et kwa kuwa jamaa wa Eneo fulan alikuAmbia inauzika ,
.so angalia Eneo lako
 
Kampuni za kiswahili Kuna shida

Kampuni pekee yenye mzunguko mkubwa wa Gesi ni ya Wazungu wa Oryx tu
Hawachakachui sababu standard zao za kimataifa mitungi Yao popote duniani lazima viwango viwe sawa Na hukaguliwa mara Kwa mara na wakaguzi wa kimataifa kuhakiki ubora na ujazo kuhakiki kuwa uko standard ya kimataifa .
 
Arusha kuna Manj's ana Market share kubwa sana
 
Kampuni za kiswahili Kuna shida

Kampuni pekee yenye mzunguko mkubwa wa Gesi ni ya Wazungu wa Oryx tu
Hawachakachui sababu standard zao za kimataifa mitungi Yao popote duniani lazima viwango viwe sawa Na hukaguliwa mara Kwa mara na wakaguzi wa kimataifa kuhakiki ubora na ujazo kuhakiki kuwa uko standard ya kimataifa .
Bidhaa yoyote ambayo unadhani ni bora sana basi hiyo lazima ina wachakachuzi wengi wakitaka kutembelea huo upepo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom