Utofauti wa gesi ya ORYX gesi na kampuni nyingne

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Oct 28, 2019
1,044
1,996
Habari ndugu zangu,leo nilikuwa naulizia bei ya gesi mtungi mdogo Oryx upo juu sana kwa bei ya sh 25000/= Mihan na oli ges 21000/= ,mtungi mkubwa 58000/= oryx na kampuni nyingne 53000/= ,Sasa swali langu ni kwamba utofauti wake upo kwenye nini ?, Naomba anaejua anijuze tafadhali ili nitambue ubora wake tofauti na makampuni mengne .
 
Kwa uelewa wangu gas hazina utofauti ktka ujazo isipokuwa ni nguvu brand .. Serikali kwa Mara ya mwisho ilitoa ukomo wa ongezeko la bei ya gas kampuni zingine ziliongeza bei na kwa mfano taifa gas haikuongeza bado inauza bei za awali
 
Ngoja kama ni hivi nikabadilishe mtungi mwisho wa mwezi huu.
 
Habari ndugu zangu,leo nilikuwa naulizia bei ya gesi mtungi mdogo Oryx upo juu sana kwa bei ya sh 25000/= Mihan na oli ges 21000/= ,mtungi mkubwa 58000/= oryx na kampuni nyingne 53000/= ,Sasa swali langu ni kwamba utofauti wake upo kwenye nini ?, Naomba anaejua anijuze tafadhali ili nitambue ubora wake tofauti na makampuni mengne .
Cocacola na Pepsi zote ni soda.
Kimbinyiko na Shabiby yote mabasi yanakufikisha Dodoma
 
Back
Top Bottom