Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa sababu tunajifinza Kwa waliowainua wanawake level za Juu.Hata Rais alisema msije kushangaa siku Moja CDF akiwa mwanamke.

Acha kupenga makamasi Kwa njia ya mdomo
Mwanamke atabaki kua mwanamke as long matabaka ya mwanamke na mwanaume ni tofaut Yani alietuumba hakuweka usawa, uje wewe mwenye akili za sisimizi uweke usawa, ww unafkiri kwann linatumika Neno akiwezeshwa anaweza maana yake ni mpaka awezeshwe na mwanaume ndio aweze, simple and clear 😅😅😅😅😅😅 na hata upande wa Rais wetu ni same dodo limedodoka likaokotwa sio kwamba alichaguliwa na wananchi, usipende kukuza Mada ambayo haina mantiki
 
Bado hawaja pata stima wachaji simu zao hawa ng'ombe wa North? Kuna giza sana na ukimya hapaa...

IMG_20240502_192503.jpg
 
Dah! Tuombe uzima asee
Hakuna jipya apo kaka, Tanzania ni nchi inayolindwa na mizimu mikali sana, hakuna cha kimbunga wala mavi ya kimbunga, unakumbuka kimbunga kilichopita? Zilitoka pepo kutoka North zikakipiga kile kimbunga sijui jobe sijui nn kikapotelea mbali, the same applies to this, so don't worry this is the blessed country ever.
 
Hakuna jipya apo kaka, Tanzania ni nchi inayolindwa na mizimu mikali sana, hakuna cha kimbunga wala mavi ya kimbunga, unakumbuka kimbunga kilichopita? Zilitoka pepo kutoka North zikakipiga kile kimbunga sijui jobe sijui nn kikapotelea mbali, the same applies to this, so don't worry this is the blessed country ever.
halafu unajua ikitukosa sie Hidaya ataenda kugonga wapi?
 
Kama tungekuwa tuna host wenyewe na sio EA , am sure Mwanza ingechaguliwa
1.Dar ni lazima iwe picked. Commercial capital , More training stadiums( Karume, Boko, Azam Complex)
2. Zanzibar Lazima iwe picked- Hotels, Plus ni United republic , plus more touristic city
3.Arusha vs Mwanza , I think ni Arusha ina hotels plus, International airport, ipo karibu na Moshi , Ngorongoro etc, Mwanza is more of business than touristic city , so Arusha ikashinda
4. Kwenye Dodoma vs Mwanza , nafikiri Issue ni Capital city, inagwa sidhani kama imezidi mwanza kwa hotels, lakini SGR kufika Dodoma pia itaipa nafasi
Unataka kunambia wanataka kujenga uwanja Dodoma halafu Mwanza wanaisahau kweli?? Hili kwa watu wa Kanda ya ziwa ambao ndio wengi kuliko Kanda yoyote ile hatulikubali kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom