Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hvi ww akili yako iko sawa sawa? aliekwambia CDF wa Kenya ni mwanamke Nani ??? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Kwann hua husomi habari kwa umaskini alaf ukaelewa vyema, kwann unapenda Sana kukurupuka ??

Tuliza akili yako mzee sometimes unaonekana kama taa ya check engine inawaka

View: https://twitter.com/CTNSIS/status/1785959579198607504?t=_tC_iVYUqHO5ajbMA81law&s=19

View: https://twitter.com/aomenya/status/1785969249707552869?t=OFAi40LF-WqKQ8XDKuUPgw&s=19

View: https://twitter.com/WueehTV/status/1785999936510677435?t=QR1Gc1YhdBAFjUf2NJgfag&s=19

Wapi nimesema CDF wa Kenya ni mwanamke? Acha kuvuja mkojo mdomoni
 
Kwann umesema siku tukipata CDF mwanamke nitajua maana ya kongole??

SASA nikuulize tena kongole Ile ulokua unamanisha nn??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Anakwenda mbio Sana mzee wakat mwengine hua nadhani relay yako ya kichwa inapiga cheche
Kwa sababu tunajifinza Kwa waliowainua wanawake level za Juu.Hata Rais alisema msije kushangaa siku Moja CDF akiwa mwanamke.

Acha kupenga makamasi Kwa njia ya mdomo
 
Kwa sababu tunajifinza Kwa waliowainua wanawake level za Juu.Hata Rais alisema msije kushangaa siku Moja CDF akiwa mwanamke.

Acha kupenga makamasi Kwa njia ya mdomo
Mwanamke atabaki kua mwanamke as long matabaka ya mwanamke na mwanaume ni tofaut Yani alietuumba hakuweka usawa, uje wewe mwenye akili za sisimizi uweke usawa, ww unafkiri kwann linatumika Neno akiwezeshwa anaweza maana yake ni mpaka awezeshwe na mwanaume ndio aweze, simple and clear πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na hata upande wa Rais wetu ni same dodo limedodoka likaokotwa sio kwamba alichaguliwa na wananchi, usipende kukuza Mada ambayo haina mantiki
 
Thanks for confirming that indeed these are stadiums in Africa and have nothing to do with approval πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ukinionyesha report ya CAF natoka JF for goodπŸ˜‚πŸ˜‚
Mwalimu wako alipata tabu sana kukufundisha darasani
 
Bado hawaja pata stima wachaji simu zao hawa ng'ombe wa North? Kuna giza sana na ukimya hapaa...

IMG_20240502_192503.jpg
 
Dah! Tuombe uzima asee
Hakuna jipya apo kaka, Tanzania ni nchi inayolindwa na mizimu mikali sana, hakuna cha kimbunga wala mavi ya kimbunga, unakumbuka kimbunga kilichopita? Zilitoka pepo kutoka North zikakipiga kile kimbunga sijui jobe sijui nn kikapotelea mbali, the same applies to this, so don't worry this is the blessed country ever.
 
halafu unajua ikitukosa sie Hidaya ataenda kugonga wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom