Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa mchangiaji. hiyo gari ni ya shillingi ngapi?
Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa.
Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana.
Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin...
Upandikizaji wa figo (renal transplant) sasa hivi unafanyika hapa hapa nchini kwetu. Na tuko mbioni pia kuanza upandikizaji wa maini (liver transplant). Huko nyuma tulilazimika kuwapeleka wagonjwa wanaohitaji huduma hii nje ya nchi, hasa India kwa gharama kubwa ya fedha za nje za USA dollars...
Tanzania bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu salama hospitalini huku wataalamu wakitoa wito kwa taasisi binafsi na za umma kuongeza kasi ya uchangiaji damu kwa hiari ili kubadili wimbi hilo.
Wataalamu waliokusanyika wakati wa hafla ya kuchangia damu iliyoandaliwa na wafanyakazi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.