device

  1. Stroke

    Kwa kuangalia uchangiaji wa mada nimegundua watumiaji wengi wa JF hutumia device za maofisini mwao

    Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa. Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana. Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin...
  2. hermanthegreat

    Kwa wale mnaopenda hacking; Kuna tool inaitwa AndroRat unaweza hack Android device remotely ukasoma texts, calls, hadi location ya muhusika.

    Habari wakuu Kwa watumiaji wa Kali Linux hii ni bab kubwa, hapa nawaza nianze kuifanya kama biashara najua vijana watakao hitaji kumiliki simu za wapenzi wao ni wengi. Ipo hivi. Kuna tool inaitwa AndroRat , Andro kama ufupisho wa neno Android, na Rat kama ufupisho wa neno Remote access...
  3. Grand Canyon

    Msaada kuhusu device hii kwenye Toyota Raum

    Naomba anayejua hiki kifaa ni Nini na kinafanya Kazi Gani? Kiko kwenye Raum katikati ya siti ya dereva na abiria. Ukiwasha gari kinawaka.
  4. H

    Car diagnosis device with chatGPT

    Nawaza, chatGPT au hata google bard zimekua msaada mkubwa kutoa majibu ya issue mbalimbaliu kwa siku za karibuni. Naona kama hizi car diagnosis devices zikiwa integrated na chatGPT au google bard zitakua more eeficient. Kwa sasa hizi devices zinatoa results kwa code, ambazo kama sio mtaalamu...
  5. OLS

    Jua namna ya kufahamu kiasi cha MB ulichotumia kwenye kifaa chako

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu kiasi cha data ambacho watu hununua na kutumika wengi wakisema wametumia data kwa muda mchache na hivyo kulalama wanapoona data imeisha kwa ghafla. Katika uzi huu naomba kuwajuza namna ya kujua matumizi yako ya data ili unapopokea sms ya bundle lako kuisha uwe...
  6. The Boldly

    Msaada:Jinsi ya 'ku-skip" device verification kwenye Euro Truck Sim 2(android)

    Wakuu, Naomba kwa mwenye uelewa wa jinsi ya kuskip ule ujumbe wa "device verification" kwenye game la euro truck simulator 2 kwenye simu
  7. EvilSpirit

    Kuna anayejua kuifanya hii device itumie laini za mtandao mingine

    Hii ni kifaa cha kampuni fulani.nimekinunua kwa hela nyingi lakini mwisho wa siku kikawa hakina kazi kutokana na mtandao husika kutokuwa na coverage kwenye remote areas.Coverage ipo mijini tu.Ni jambo la kushangaza sana katika kipindi hiki cha Sci & Tech eti mtandao unashika mjini tu.Nimeamua...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Fix: Windows cannot Load the Device Driver for this Hardware because a Previous Instance of the Device Driver is still in Memory (Code 38)

    This error is generally associated with an external device you have installed recently and the error message is accompanied with performance issues regarding the device. The error itself can be found in Device Manager when opening the properties for the problematic device. Windows cannot...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    How to Fix This Device Is Not Configured Correctly (Code 1)

    The Code 1 error message tells you that the device in question doesn’t have drivers installed on the computer, or the drivers are incorrectly configured. You will get a popup message saying that The device is not configured properly. Chances are whichever device this issue is related to, it will...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Fix: Your Computer Appears to be Correctly Configured, but the Device or Resource (DNS server) is not Responding

    This error message is the one which appears after running a network troubleshooter on any version of Windows from Windows 7 and it indicates that there is a problem regarding your DNS server which is causing further Internet connection problems. Your computer appears to be correctly...
  11. Ofsaa

    Ku format exfat Flash inayosema unrecognized device was specified

    Wazee nakipengele hapa nilikuwa narusha kawaida window image kwenye flash ikawa inaingia haikufika mpaka mwisho ikawa imeji disconnect baada ya hapo mzee haiformatiki nishajaribu njia zote hata za google zina fail file system inasoma Exfat Natanguliza shukran
  12. M

    Wapi naweza kupata 'hearing aid device' kwa bei rahisi?

    Za muda huu wakuu Nilishapitia threads mbalimbali humu Jf hususani katika ishu za watu walikuwa wanasumbuliwa na tatizo la kutosikia (hearing loss) but nami ni muhanga wa hilo nimepambana sana kutumia madawa kama ushauri wa daktari nilitumia kama miezi nane dawa aina za neurosupport katika...
  13. Sky Eclat

    Wakati tunajiandaa na beach party Dar - Kuna device ya metre 2 social distance imezindiliwa huko ambako corona bado ni tishio

    Ni Beeper unaivaa shingoni, anaekukaribia zaidi ya metre mbili Inaanza ku beep mpaka huyo mtu asogee. Sasa wale madomo zege walikuwa na kazi kubwa mwanzo, hii social distance itawapa wakati mgumu kidogo. Coronavimebadilisha sana utaratibu wa maisha. Binadamu tulikuwa tunajali sana muda katika...
Back
Top Bottom