taasisi za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Amina Mzee atoa wito kwa Taasisi za Serikali kuilipa TBA na TEMESA madeni Ili Mashirika yaweze kujiendesha

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kulipa madeni wanayodaiwa na Mashirika ya TBA na TEMESA ili kupunguza changamoto za ukosefu wa fedha kwa Mashirika hayo. "Nampongeza Mheshimiwa Rais...
  2. Kibosho1

    SoC04 Vyombo vya Habari za kiuchunguzi ndio suluhisho la uzembe na rushwa kwa Taasisi za Serikali

    Japo ni ngumu kwa nchi za Afrika lakini bado tunaweza. Tumeona naibu rais tayari ameagiza jeshi la polisi kuanza kutumia mfumo wa kurekodi matukio yao wanapokuwa kazini, jambo jema sana lakini bado kunahitaji mengi zaidi. Miradi mbalimbali sa serikali inakwama au kuendelea taratibu tofauti na...
  3. Stephano Mgendanyi

    Taasisi za Serikali zatakiwa kuanzisha Hatifungani

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya kupata fedha ili ziweze kugharamia miradi ya maendeleo kwa njia mbadala (APF) na kupunguza utegemezi kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali. Bashungwa...
  4. S

    Kwanini kuna vita baridi kati ya taasisi za serikali na sekta binafsi?

    Amani iwe nanyi nyote. Kuna jambo moja naliona na si kuona tu Kila mwenye Biashara analalamika Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo Magumu ili kufungua mwanya wa rushwa, Mifumo kutoingiliana Nikiwa na maana kwamba Unapoanza kufanya...
  5. Suley2019

    CAG: Mifuko ya Hifadhi ya Jamii inazidai Taasisi za Serikali trilioni 1.73

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeonyesha taasisi za Serikali zinadaiwa mikopo ya muda mrefu yenye thamani ya Sh1.73 trilioni ambazo hazijalipwa kuanzia mwaka mmoja hadi 16. Kwa mujibu wa kitabu cha Ripoti ya CAG ya Mashirika ya Umma, ambacho ni miongoni mwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    RC Mwanamvua MRINDOKO Awataka Watumishi wa Umma Kusimamia na kutunza Mali na Maeneo ya Taasisi za Serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua MRINDOKO amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kusimamia taasisi za serikali kutunza mali na maeneo yote wanayoyasimamia ili yasivamiwe. RC Mhe. Mwanamvua MRINDOKO ameyasema hayo katika mkutano wa kusikiliza kero uliofanyika tarehe 05 Machi, 2024...
  7. Mkalukungone mwamba

    Mkuu wa Programu JamiiForums: Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani, tuuthamini

    Mkuu wa Programu JamiiForums, Ziada Seukindo amesema taasisi za serikali zinaruhusiwa kutumia mtandao wa JamiiForums kwa sababu ni Jukwaa la mtandao kama majukwaa ya mitandao ya kijamii mengine duniani. “Taasisi za serikali zinapaswa kutambua JamiiForums ni mtandao wa ndani tuuthamini, baadhi...
  8. MamaSamia2025

    Baadhi ya Taasisi za serikali na taasisi kubwa za binafsi acheni kuwadumaza na kuwarudisha kwenye umaskini wajasiriamali wadogo

    Kuna mambo yanaendelea kwenye nchi hii yanaonekana madogo lakini kadiri siku zinavyoenda yanaweza leta shida. Wote tunajua nchi yetu kama zilivyo nchi nyingi duniani ina uhaba mkubwa wa ajira. Tofauti na nchi kama China ni kuwa nchi karibu zote za Afrika zinaenda kuwa na tatizo kubwa zaidi...
  9. Reachpoint

    Naomba ushauri Namna ya kuingia katika Taasisi za Kiserikali na Binafsi

    Habali nduguzo. Naombeni ushauri namna ya kuomba kibali cha kuonana na mkurugenzi au HR wa Taasisi tofauti tofauti. Nia na dhumuni, nina biashara yangu nataka ianzisha mda si mrefu ntakuwa nimesha sajiliwa kama kampuni na brela. Nahitaji kujua taratibu za kuomba kibali cha kuonana na...
  10. Michael Uledi

    Wizara na Taasisi za Serikali walipaswa wamwambie Rais mipango yao ya kisekta katika kututafutia dola

    Tayari tumeingia kwenye tatizo kubwa la kiuchumi kama Nchi na tusipokuwa na maono makubwa ya jinsi ya kutoka hapo kwa kuwa na mipango ya muda mrefu na muda mfupi basi tumekwisha. Wataalam wetu wanasema tatizo la ukosefu wa USD katika Uchumi wa Tanzania ni tatizo la Nchi nyingi za Afrika.Sijajua...
  11. Tajiri Mapesa

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake 1. TPDC 2. TCRA 4. Ngorongoro 3. Ewura 4. WCF 5. TBS 5. TANAPA 5. Tume ya madini 6. Mamlaka ya chakula na dawa 7. SSRA 8. NSSF/PSSSF 9. BOT 9. Bunge 9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali...
Back
Top Bottom