sipati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moviez Tz

    Mbona sipati wateja kwenye tovuti yangu ya Elimu (course website)

    Habari, Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli. Ningependa kupata mawaidha kutoka kwenu ya nifanyeje ili nianze Pata mauzo.
  2. C

    Kwanini sipati mwanamke wa kuoa na wakati nina pesa nyingi?

    Kwema wakuu, Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje. Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?
  3. Tlaatlaah

    Sipati usingizi wiki ya 2 sasa

    Wajuvi wa mambo habari zenu, Ni wiki ya 2 sasa kausingizi kamenipotea kabsaa, yaani sipati usingizi mchana, sipati usingizi usiku. Hadi nafikiria na kushawishika kugonga tena konyagi labda kanaweza jitokeza kitu ambacho nimefanikiwa kukiacha. Najaribu kujichunguza labda kuna jambo linanitatiza...
  4. Money Penny

    Hivi kwanini sipati wa kunipenda wakati nina elimu ya Masters?

    Hili swali nimeuliza muda Sana Ila nashindwa kuweka uzi. Jaman wenye elimu ZENU naombeni niwasaidie, hamkusoma ili mkaajiriwe, jiajirini basi tuone matunda ya elimu yenu? Mwanaume kukupenda sio sababu Una masters, wanaume wanaangalia vitu vingi jamaan sahivi wamekuwa worst wanaangalia mpaka...
  5. dvj nasmiletz

    Msaada: Nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha

    Wakuu, nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha nifanye nini ku switch toka Swahili to English? Blog yangu ni ya Kiswahili, sasa baada wao kureview inaleta ujumbe wa kutopata ads kwa sababu ya lugha, naombeni msaada wenu. "Your blog isn't ready to show ads and needs...
  6. T

    Hivi kuna nchi yenye watu Jeuri na kutamba kama Tanzania? Sipati picha iwapo tungekuwa na Uchumi wa hata Dubai tu!

    Niambieni, kwa jinsi walivyosimama hapo na mwonekano wao,unadhani ni nani anayedhaniwa kuwa ndo anatakiwa asainishwe mikataba ya DP word? Kati ya nchi ambazo watu wake ni jeuri, walisharidhika na umasikini wao, na mambo yao ni poa sana, na wenye uwezo wa kuuza chochote bila kufikiri ya badaye...
  7. H

    Sipati ujumbe wa salio linalobaki baada ya kununua Luku

    Salamu humu Natumia natumia line ya Airtel. Kama kichwa cha habari kinavyosema.. msg zinazokuja ni za token tu na nyingine ya muamala kuwa unashughulikiwa. Lakini meseji ya salio lako limebaki kiasi gani kwenye airtel money sipati. Au ni kwangu tu vipi huko wenzangu na mitandao mingine ikoje?
  8. Labani og

    Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

    MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE. “Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia" “Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana...
  9. Mwl Evarist Mchele

    Nimeambiwa kwa 8m sipati ist used. Plate "D"

    Leo nimekutana na mtu nikamwambia nina M8.5 na natafuta kununua ist mkononi namba D, jamaa akaniambia kuwa sitaweza kupata. Labda kwa uzoefu wenu nijuze zaidi kuhusu bei yangu hiyo na gari hilo, je nitaweza kupata au? USINISHAURI CHAGUO LA GARI LINGINE NAYAJUA YOTE NA NIMEULIZIA IST.
  10. Planett

    Sipati chaneli ya Russia Today kwenye Azam TV

    Nimekua nikifiatilia channel hii katika kipindi hiki cha mzozo wa Russia-Ukraine ili kuballance matukio. Sasa leo najaribu kuangalia haipo hewani na kwenye screen ya tv haileti ujumbe wowote either poor signal au vipi. Je kwa sisi wapenzi wa Russia Today tv ndio imekula kwetu? Je inaweza kua...
  11. R

    Loss report mtandaoni: sipati control number

    Nimejaza smoothly kila kitu, ikija kweye control number inagoma kutoa control number. Nifanyeje kupata control number
  12. Mkushi Mbishi

    Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

    Habari zenu Ndugu zangu msichanganywe na kichwa cha habari na mkaja kunitusi na kunijibu ovyo,sio kwamba nataka nipate.Bali nataka Wataalam na wajuzi waje watupe elimu itakayotupatia faida mimi na nyinyi Wengi tunaamini kwamba ngono ndio chanzo kikubwa cha maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,hata...
  13. tang'ana

    Bila kulewa huwa sipati usingizi kabisa

    Hello JF, Naombeni ushauri wa nini cha kufanya. Mimi kwa kifupi bila kunywa pombe huwa sipati usingizi,mimi sio mlevi yule wa kulewa mpaka kubebwa, na pombe zangu kubwa ni Heineken, Windhoek na Serengeti Lite but for sure huwa siwezi kupata usingizi bila kupata bia. Mfano, usiku wa kuamkia...
  14. M

    Elimu ya kidato cha sita PCM ufaulu daraja la pili kweli sipati ajira? Dodoma

    Umri 26 Jinsia ME Makazi.. Dodoma mjini Nb Nipo vizur kimwili na kiakili kufanya kazi yeyote ile kwa kuagizwa au kujisimamia kwabidii kubwa... Usijali kuhusu kazi unayonipa nipigie 0621568325 tuongee.. Pia ushauri napokea. "sipendi umaskini"
  15. M

    Sipati umeme siku ya tatu leo, tatizo ni nini?

    Luku hipo lakini umeme auwaki tatizo ni nini arafu nilikuwa naongeza luku nikajua imeisha inasomaa arafu aimarizi inazima leotena nimejaribu kuuhingiza ule umeme naambiwa umeshatumika lkn umeme auwaki tatizo ni nini? TANESCO
Back
Top Bottom