sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    Sheikh asema bima zote ni haramu

    Kama kawaida yake uislamu ni dini ya haki na isiyotoa mwanya wa ujanja,utapeli na unyonyaji. Masheikh mbali mbali wameendelea kuweka wazi msimamo huo wa uislamu ambao umo kwenye Qur'an na suna za mtume Muhammad rehma na amani zimshukie. Katika ufafanuzi huo,masheikh wamesema kama itatokea...
  2. Shark

    News Alert: FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

    Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League. Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi ya pili ambayo inaishikilia timu ya Azam hivyo ushindi pekee ndio utakaoiweka katika nafasi nzuri ya...
  3. Mad Max

    News Alert: FT: Federation Cup: Azam FC 3 - 0 Coastal Union | 18 May 2024 | CCM Kirumba Stadium

    Tumeanza mechi. Kikosi cha Azam FC kinachoanza Kikosi cha Coastal Union kinachoanza Dakika ya 41 Azam wamepata penalty... Gooooal - Sopu
  4. Jackwillpower

    MDAHALO WA ELIMU Part 2 NA SHEIKH SULE

    MDAHALO WA KIELIMU: Season 2 Waislamu mwalimu wenu anakibarua kizito Baada ya MDAHALO wa kwanza walimu wakiislamu Sule,mazinge na genge lao kupigwa KO Sasa tumeandaa MDAHALO mwingine kuendelea kupinga upotishaji na kuwaleta waislam kwa Yesu Tukimaliza mada hizo mbili katika mjadala wa uso...
  5. Roving Journalist

    Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud atembelea Taasisi ya JKCI, apongeza utendaji

    Rais wa Jamhuri ya Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amewapongeza wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa huduma nzuri wanayoitoa ya kuokoa maisha ya watu wenye matatizo ya moyo. Rais Hassan Sheikh Mohamud alizitoa pongezi hizo Aprili 27, 2024 Jijini Dar es Salaam alipotembelea...
  6. DR Mambo Jambo

    USHAURI: CHADEMA Mkitaka Kuinuka Tena Kwenye Siasa Mpeni Huyu "Sheikh Ally Mohamedi Kadogoo" UKatibu Muenezi wa Chama Mtafika Mbali na Mtaheshimika

    Sikuwahi kufatilia Mikutano ya CHADEMA kwa Uangalifu kwa sababu Najua Mikutano yao Mingi Huwa ni Malalamiko na kashfa na hasa wengi Kushindwa kujibu hoja na Asilimia Kubwa kuwa waropokaji.. Japo Kuna watu makini Ndani ya Vijana hao wa chama Siwezi kukataa kuna watu au Vijana makini na Wanahoja...
  7. kavulata

    Ndoa ya DUBE na Azam FC sheikh ni TFF, Hana mkataba?

    Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali. Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
  8. T

    Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

    Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule. Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
  9. F

    "Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

    Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
  10. Mohamed Said

    Taazia: Sheikh Ali Hassan Mwinyi (1925 - 2024)

    TAAZIA Leo usiku saa tatu In Shaa Allah nitakuwa TV Africa Channel 2 Mubashara Kipindi Maalum cha Rais Mwinyi. Wako King'amuzi cha AZAM Ingia Others. Picha hapo chini Ukumbi wa Korea nikimkabidhi Mzee Mwinyi nakala mbili za kitabu cha Abdul Sykes (Kiingereza na Kiswahili) 2014.
  11. GENTAMYCINE

    Niliwaambia tumieni tu CCM Mkwakwani au Sheikh Amri Abedi Kaluta na msithubutu kwenda CCM Kirumba mkanipuuza acheni sasa yawakuteni

    Ni Mpumbavu tu pekee Tanzania nzima ndiyo mpaka leo hajui kuwa Mkoa wa Mwanza 80% ni Ngome Kuu na Tukuka ya Wananchi na hatujawahi kuwa na rekodi nzuri na ya uhakika tukicheza CCM Kirumba tokea Kipindi cha Pamba FC, Lumumba Rovers FC, Toto Africans na Mbao FC zaidi tu ule wa Kubahatisha /...
  12. Erythrocyte

    Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024

    Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi Shehe Ponda amedai kwamba kimsingi yale maoni ya wananchi , Wadau na Taasisi...
  13. Mhaya

    Kiongozi wako wa dini hatakiwi kuunganisha ukaribu wako na MUNGU, hilo ni jukumu lako

    Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
  14. Pfizer

    Sheikh Issa Ponda, amuomba Rais Samia kushughulikia uhai wa Bakari na Juma waliotekwa

    Rais wetu shughulikia Uhai wa Raia. Trh. 27.12.23, Polisi wamewauwa Bakari Ismail na Shomari Kacheuka. Trh. 28.12.23 kikosi cha Utekaji kimewateka Juma Idd na Haruna Idd. Matukio haya na hukumu za kunyongwa watu yanakithiri katika Serikali yako. Siasa sawa lakini Uhai ndio Na.1.
  15. FaizaFoxy

    Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli

    Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli. Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe: Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
  16. Roving Journalist

    Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa na Serikali kwa zaidi ya miaka kumi katika Gereza Kuu la Kisonge Mkoani Arusha. Masheikh hao...
  17. Mhaya

    Mkanganyiko wa Kiimani

    Pichani, Jamaa mwenye nguo nyeupe 🤍 anadai kuambiwa na MUNGU kuwa anywe pombe lakini asioe. Vilevile jamaa mwenye nguo nyeusi 🖤 nae anadai kuambiwa na MUNGU kuwa asinywe pombe lakini aoe wanawake wengi. Je ni Upande hupi ni Sahihi, 🤍 au 🖤?
  18. Mohamed Said

    Bibi Titi na Leila Sheikh

    https://youtu.be/ja_cL5te4Lw
  19. Mohamed Said

    Sheikh Ponda Maktaba: Kadhia ya Kuwaunga Mkono Wapalestina

    Leo asubuhi Maktaba ilipata bahati ya kutembelewa na Sheikh Ponda. Kwangu ilikuwa furaha kubwa. Sheikh Ponda kaifuta vumbi Tanzania na kaifariji Palestina kwa kutoa mkono wa taazia kwa Wapalestina kwa msiba mkubwa unaowakabili. Wapalestina watawaandika wananchi wa Tanzania katika historia ya...
Back
Top Bottom