na wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Walinzi nane na wengine 12 wafikishwa Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu Uchumi

    WALINZI nane wa Kampuni ya Ulinzi ya Security Group ya Afrika (SGA) Tanzania Ltd na wenzao 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka matatu likiwemo shtaka la wizi na utakatishaji fedha wa zaidi ya Sh bilioni mbili mali ya NMB...
  2. Nyendo

    Mtu mmoja ameuawa na wengine wakijeruhiwa kwa kukatwa mapanga Handeni

    Mtu mmoja ameuawa huku wengine wanne akiwemo mtoto wakijeruhiwa wilayani Handeni mkoani Tanga baada ya kukatwa mapanga huku wananchi wakijawa na hofu kuhusiana na tukio hilo. Tukio hilo limetokea katika kitongoji cha Kwamagome kilichopo ndani ya halmashauri ya mji Handeni majira ya saa kumi na...
  3. Suley2019

    Ajali Mbeya: Mmoja afariki na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Hiace na Lori la mafuta

    Kumetokea ajali asubuhi ya leo Juni 07, 2020 katika eneo la Mbembela jijini Mbeya iliyohusisha gari dogo la abiria aina ya Hiace, lori la mafuta, lori la bidhaa na Bajaji. Katika ajali hiyo Mtu mmoja amefariki na wengine wanne kujeruhiwa baada ya lori hilo lililokuwa limebeba mafuta kufeli...
  4. Analogia Malenga

    BURKINA FASO: Watu 15 wauawa na wengine kujeruhiwa kwa shambulio la bunduki

    Serikali ya Burkina Faso imesema mtu mmoja asiyejulikana ameshambulia na kuua takriban watu 15 katika jimbo la Loroum Waziri wa Mawasiliano Remis Fulgance Dandjinou amesema idadi ya waliojeruhiwa bado haijatambulika Burkina Faso imekuwa na mashambulio yanayohusishwa na Al-qaeda na ISIL tangu...
  5. Kristonsia Nkya

    Rahisisha maisha, tumia njia hizi zitakuondolea usumbufu

    [emoji179]Chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua. [emoji179]Kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha [emoji179]Chukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu...
  6. Hata Sina kinyongo

    Kwa nia njema tu nawauliza CHADEMA na wengine mnaotaka lockdown: Kwanini msiwashawishi wanachama wenu wakae ndani hadi Corona iishe!?

    Mbowe na Zitto na wengineo mara zote wamekuwa wakitaka mamlaka za nchi ziitishe lockdown ya nchi nzima ili kuepuka uenezwaji wa janga la corona.Jambo jema. Lakini mimi nina wazo tofauti nataka kuwashauli kwa nini endapo serikali imegoma kuitisha lockdown wao wasiwashawishi wanachama wao wabakie...
  7. Yericko Nyerere

    Tumsadie Lijualikali na wengine kuzijua Katiba za Vyama vya Siasa

    Hii ni katiba ya CHADEMA kila anayejiunga na chama hiki nikuwa amesoma ameikubali, na unapochukua fomu ya kugombea uongozi ni lazima unakuwa uneikubali kwanza Katiba ya Chama. Sasa kelele za Lijualikali hazina maana zaidi ni propaganda za waliomrubuni asaliti chama tu na mkumbuke Lijualikali...
  8. Mukulu wa Bakulu

    AIM Global, Qnet, Forever Living, One Coin, GNLD na wengine mbadili mbinu za utapeli, hii ya utajiri ndani ya siku 2 imepitwa na wakati

    Huu ni ushauri wa bure. Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati. Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi. Kupiga picha na selfie kwenye...
  9. J

    Rais wa chama cha wauguzi asema kuna wauguzi wameambukizwa Corona na wengine wako kwenye Karantini

    Rais wa chama cha wauguzi Tanzania Mr. Alexander Baluhya amesema kuna wauguzi kadhaa wameambukizwa Corona lakini hawezi kutaja idadi kwa sababu yeye siyo msemaji wa serikali. Akijibu swali la mtangazaji Hassan Ngoma aliyetaka kujua hadi sasa ni wauguzi wangapi wameambukizwa na kufa kwa Corona...
  10. kitonsa

    Spider-Man, superman na wengine wapata wababe wao

    Hao hapo
  11. Suley2019

    Watoto wawili wafariki na wengine kumi na moja wafikishwa hospitalini baada ya kula vibama/mabumunda yenye sumu

    Watoto wawili nchini Uganda wamefariki dunia huku wengine 11 wakipelekwa hospitali baada kula kitafunwa aina ya chapati kilichotengenezwa kwa sumu ya kuua wadudu badala ya mafuta. Watoto wote 13 wanatoka familia moja magharibi mwa Uganda na inasemekana kwamba waliokuwa walikuwa na umri wa 5 na...
  12. Peter njelu

    Nini faida za strawberrymwilini?

    Naam! Habali za kazi ndugu wana jukwaa kama kichwa cha Habari kinavyosema. Kwa wale wataalamu, wa afya nilikuwa naomba kueleweshwa faida kiafya ya kula matunda haya, nimeona yanaliwa sana ila faida zake katika mwili sijajua. Asante!
Back
Top Bottom