maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto Songwe

    Aina za maandamano

    Katika suala la maandamano kuna aina mbili maarufu za maandamano. Moja maandamano ya amani haya pia unaweza kuyaita maandamano ya hisani au matembezi ya hisani . Ni aina ya maandamano ambayo huhusisha njia za amani katika kukemea, kupongeza, kuunga mkono au kuonesha hisia kuhusu jambo fulani...
  2. P

    Lissu: Jeshi la Polisi fanyeni kazi ya kutusaidia kwenye maandamano kama mnavyofanya kwa Makonda

    Lissu amesema sehemu nyingine duniani Polisi hutaja njia ambako maandamano yatapita na kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara pamoja watu wanaotumia barabara hiyo wajue itatumika kwa maandamo, lakini maandamano ya CHADEMA yanafanyika huku magari yanaingilia msafara wao wa maandamano. Akiongeza...
  3. Erythrocyte

    Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

    Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha. Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika. Kama...
  4. B

    Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
  5. Mjanja M1

    Dkt. Tulia akosoa maandamano ya CHADEMA Mbeya

    Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya wanasiasa wasiowatakia mema kwa kuwa wakati uliopo sasa ni wa kupelekewa maendeleo na si maneno Dkt. Tulia...
  6. T

    Hivi maandamano ya amani ya CHADEMA yana tija gani mbona mambo yanazidi kuwa magumu kwa wananchi? Au ni usanii tu

    Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024 Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta...
  7. Mjanja M1

    EFM wakejeli maandamano ya CHADEMA

    Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu...
  8. U

    Tatizo la umeme pekee linaweza kuiangusha serikali hii

    CHADEMA kuweni wepesi wa kunusa na kujua ishu rahisi ambazo ni kero kwa wananchi na mzitumie ipasavyo ku - instigate hasira kwa wananchi ili waichukie na waingushe serikali hii haramu kupitia maandamano yanayoendelea nchi nzima.. Umeme kwa sasa ndiyo kero namba moja kubwa Kwa sasa...
  9. Erythrocyte

    Arusha: Zimebakia siku 6 tu kabla Neema ya Maandamano ya amani

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu , ya kupinga Dhiki , Ufukara , Ugumu wa Maisha , Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula , pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi , Maandamano yanayoandaliwa na Chama chenye Maono CHADEMA , Sasa yameingia...
  10. S

    Kwa kauli ya DC Mbeya, maandamano ya CHADEMA yanafanyika sababu Rais Samia ameruhusu na sio kwa sababu ya Katiba

    Mara nyingine nikiwaza mambo yanavyofanyika hapa Tanzaniia, naona kama tumekuwa jumuiya fulani katika uwanja wa fujo. Tunaishi kwa matamko ya Raisi, mawaziri, wakuu wa Polisi, wakuu wa mikoa na mara nyingine katibu mwenezi wa CCM! Hivi hakuna watu wenye akili nchini, na hasa viongozi, wakaona...
  11. I

    RPC wa Mbeya apongezwe kwa kusimamia vema maandamano ya Chadema na ziara ya Biteko

    Hakika RPC wa Mbeya anapaswa kupongezwa kwa kuepusha maafa ambayo yangeweza kutokea leo mjini Mbeya kama angemuendekeza RC Homera na DC Malisa. Aidha pongezi ziwaendee viongozi wa Chadema kwa uimara wao wa kuhakikisha hawatetereki katika msimamo wao wa kufanikisha maandamano na waandamanaji kwa...
  12. Tate Mkuu

    Hatimaye Maandamano ya CHADEMA Mkoani Mbeya leo Februari 20, 2024, yameleta faraja kubwa na kukata kiu ya kijana wetu Lucas Mwashambwa

    Nyinyi ndugu zangu humu jukwaani ni mashahidi. Kijana wetu leo ametulia sana humu jukwaani. Bila shaka alisafiri kutoka kwao Mbozi, mpaka Mbeya Mjini ili kwenda kuwaona Makamanda wa Chadema live! Yaani moyo wake utakuwa umesuuzika baada ya kuwaona Makamanda kama Lissu, Mbowe, na wengineo live...
  13. comte

    Maandamano ya kupinga ugumu wa maisha yanapozuia watu kujipatia riziki na kufanya maisha kuwa magumu zaidi

    Uhuru wa kuandamana ni stahiki ya kikatiba kama stahiki ya kwenda kokote na kufanya kazi. Maandamano ya CHADEMA yanapaswa yaandaliwe vyema. Mfano Mwanza ina njia kuu tatu- barabara ya Nyerere ambako walianzaia Igoma, barabara ya Kenyatta- ambako walianzia Buhongwa, na barabara ya Makongoro...
  14. sonofobia

    Uchambuzi wa Kitaalam: Maandamano yanaibomoa CHADEMA kuliko kuijenga

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa kikifanya harakati mbalimbali zenye lengo la kuibua makosa mbalimbali yanayofanywa na chama tawala...
  15. Mganguzi

    Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

    Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia. Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake, lakini waandamanaji hawajui kitu chochote! Hawajui kwa nini wanatembezwa kwenye jua Kali mchana...
  16. Ashampoo burning

    Maandamano ya CHADEMA ni jogging haya impact kwa mtawala

    Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana madhara sawa tu jogging fulani tu Africa tofauti na ulaya Ulaya watu hata wanne wakifanya...
  17. M

    Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

    Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma. Ni maandamano ya kutoka Uyole. Naibu Waziri Mkuu anazomewa Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50. Mbeya sio mchezo. Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni...
  18. P

    Maandamano ya CHADEMA Mbeya: Lissu asema hatujamkimbia Makonda kwenye Mdahalo, ni jambazi anatakiwa kuwa gerezani

    Maandamano ya CHADEMA yanaendelea Mbeya sasa hivi https://www.youtube.com/watch?v=IBSOyiuU4Nk Tundu Lissu: - Tutaandamana mpaka tutakapopata Katiba mpya, mfumo mpya wa uchaguzi, mpaka tutakapowaondoa madarakani hawa wanaotunyonya. - Hatuandamani kwa sababu tunataka kujifurahisha, au kufanya...
  19. Erythrocyte

    Mbeya: Mambo yameanza kuiva, Vituo vya kuanzia Maandamano vyaanza kufurika wananchi

    Inasemekana eneo la Uyole mara zote nyakati za usiku huwa na watu wengi, hii ni kutokana na eneo hilo kuwa njia panda ambayo Magari mengi hupita, Magari ya kwenda Malawi na yale ya kwenda zambia yote hupita hapo. Lakini umati unaokusanyika usiku huu kwenye eneo hilo si wa kawaida , watu ni...
Back
Top Bottom