MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini
"Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa wa mwaka 2023, Mei ambao umebainisha afua ya kuwajengea wajumbe wa...
Ili kunusuru Mradi wa Mwendo Kasi, ACT Wazalendo Tunapendekeza yafuatayo;
i. Mfumo wa Kielekroniki wa kukusanyia nauli uliotelekezwa, ufungwe maramoja na uanze kutumika.
ii. Bodi ya wakurugenzi ya DART ivunjwe yote na kuundwa upya, kwa kuzingatia wataalamu wa sekta ya hiyo ambayo itauendesha...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Pia soma...
1. Matumizi ya pombe kwa vijana walio na umri chini ya miaka 25! Hali ni mbaya sana vijijijini na mijini. Vijana wameharibika sana na nguvu kazi ya taifa inapungua kwa kasi. Najua pombe ni sehemu serikali ilipojiegemeza kwenye ukasanyaji wa mapato lakini pia kwa kupitia hii pombe serikali...
Msichana mwenye umri wa miaka 19 alietambulika kwa jina la Rehema Erick Mkazi wa Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi ameingia matatani kwa kujaribu kumuua mtoto wake kwa kumtupa chooni baada ya kujifungua ili kulinda ndoa yake isivunjike.
---
Msichana mwenye umri wa miaka 19...
Wasalaam wana jamiiforum
Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji.
Na wanavichukulia powa kwamba vinawachangamsha na kuwaondolea uchovu lakini taratibu vinawamaliza.
Nimewaza...
Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.
Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar.
Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati...
Malawi itaanza kuzuia biashara ya fedha za kigeni na kufanya msako dhidi ya wafanyabiashara magendo, baada ya kushuka thamani ya sarafu yake, wizara ya fedha imesema Jumatatu.
Kwa mujibu wa shirika la habari Reuters, nchi hiyo ya kusini mwa Afrika imeshusha thamani ya sarafu ya Kwacha kwa...
Jana katika pita pita mtandaoni nikatembelea mtandao wa kenya talk, nikakuta title sijui imeandikwa wazazi kujeni muone watoto wenu nikafungua thread nikakuta Kuna clip nikaifungua!! La haula, nilijuta hata kuifungua aisee, mpaka nikatetemeka
Kuna jamaa mtu mzima kidogo alikua uchi wanampiga...
Desemba 1, 2022 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani baada ya maadhimisho hayo alisimama na kusalimiana na Wananchi wa Mnazi mmoja mkoani Lindi wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara.
Dkt. Samia Suluhu alitoa nafasi kwa mbunge wa Mtwara kutoa...
MTENDAJI wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya, amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri wa miaka 14, wamekubali kurejesha fedha na mifugo waliyopokea kama mahari na kurudi na watoto wao nyumbani baada kugundua kuwa watoto wamekuwa wakiteseka...
Abeid Abubakar
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu katika habari iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi la Julai 23, 2022 ukurasa wa 23, alinukuliwa akisema kuwa Watanzania wapo hatarini kupata upofu kwa kukosa huduma za macho, huku akiweka bayana kuwa ni watu milioni moja pekee wanaopata huduma hiyo...
Rais ametangaza kutoa bilioni kadhaa kwa ajili ya mafuta, lakini hatujui vita vya Ukraine vitaisha lini hivyo ni ngumu kujua kwa muda gani tutaendelea kutoa hela au kuondoa tozo na kodi kwenye mafuta.
Moja ya misingi ya Marekani ni kutokuwa na rafiki au adui wa kudumu. Nadhani na sisi tuwe...
MCHUNGAJI MSIGWA AFUNGUKA SAKATA LA NGORONGORO:- WALIPWE FIDIA WAHAMISHWE, WANA HAKI ZAO
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye pia ni Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa wa chama hicho, aliyewahi pia kuwa mbunge wa Iringa mjini na waziri kivuli wa Wizara ya Maliasili na utalii Mchungaji Peter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.