na hapatawahi kuja kutokea duniani,
Rais muungwana, mpole, makini, madhubuti, mahiri na mwana mapinduzi mwenye nia na dhamira njema ya dhati na
maono ya mbali sana kwa Tanzania yenye neema kisiasa, kujamii na kiuchumi, kama aliepo hivi sasa Tanzania, ambae,
ni comrade Dr.Samia Suluhu...
acha upotoshaji,
na,
si vizuri kutajataja majina ya watu kwa mistari isiyo na vina, kwa manung'uniko binafsi nje ya hoja yako mwenyewe......
binafsi sina cheo, wala sistahili madaraka, nina dhamana muhimu sana ya wanainchi, lakini na pia na dhamana ya familia yangu...
na msingi wa yote haya...
hasara, stress na maumivu wanapata zaidi walalamishi na wanung'unikaji wavivu, mie wala sibabaiki na kichwa ngumu kuelewa ya mtu yeyote, kwenye bidii ya kazi na shughuli zangu, kwa familia na wanainchi wangu :pedroP:
kidumu chama Tawala
Kila la Kheri Kamati Kuu, Daima Tunawaombea kheri....
Kwa Shauku na Matumaini Makubwa Sana,
Macho na Maskio ya waTatanzania ni Kisiwa Ndui Zanzubar :BASED:
Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea?
Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni mwa mashirika ya kutoa huduma za kifedha mjini, ameamua kwenda kuripoti kwa mjumbe baada ya...
acha upotoshaji kamanda,
si kweli,
hakuna aliechukua kazi ya mtu na kugawana kwenye ukoo wake, hilo halipo kabisa kamanda :spandauB:
mimi nafanya kazi ya wanainchi kwa bidii na weledi, kwa pamoja na wanainchi wenyewe. lakini jata siku moja siwezi kuzembea hata kidogo kazi yangu ya msingi na...
kwanza kabisa mihemko na maneno yako mbofumbofu ikusaidie wewe mwenyewe, pande hii ni useless kabisa:spandauB:
jambo la pili,
daima siwezi kuchoka wala kunyamazia upotoshaji wa wazi hata kidogo, wala siwezi kuwafurahisha wavivu na walalamikaji kwa uvivu wao :spandauB:
kama chama, lakini pia kama nchi, chini ya kiongozi madhubuti sana comrade Dr.Samia Suluhu Hassan,
tumepitia changamoto mbalimbali ngumu na nyepesi, mathalani uviko19, kuondokewa na mkuu wa nchi kipenzi cha waTanzania hayati comrade J.P.Magufuli, R.I.P mkuu, tumepitia pia changamoto ya athari...
kupitia CCM imara,
waTanzania kwa mamilioni yao, watazishinda kwa kishindo hila, mipango na njama za vibaraka wa mabwenyenye kwenye sanduku la kura mchana kweupe :BASED:
yaliyopita sio ndwele tugange yasasa na yajayo kwa amani....
uelekeo wa ccm, matarajio, matumaini na matamanio ya wana ccm na waTanzania kwa ujumla ni ya kipekee sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote. Uhakika wa uhalali wa viongozi watakaoteuliwa na ccm, kupeperusha bendera ya ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.