ALI HAPI AIPASUA JUMUIYA YA WAZAZI HALI TETE

Skyway

JF-Expert Member
May 19, 2019
293
312
Katibu mkuu wa wazazi ndg Ally Hapi yupo katika mgogoro mkubwa na viongozi wa jumuiya hiyo- Tarifa zilizopo ktk mwezi mmoja amekwapua hela nyingi kwa mambo binafsi; mbabe na haheshimu viongozi wake
Tangu ateuliwe hajakutana na hataki kukutana na viongozi wakuu wa jumuiya
 
Heheheh kwa hiyo unataka kusema anafidia ma-gape ya kukaa benchi? Anyway lisemwalo lipo kama kweli lipo, ila kwa wakati huu, kazi iendelee
 
Katibu mkuu wa wazazi ndg Ally Hapi yupo katika mgogoro mkubwa na viongozi wa jumuiya hiyo- Tarifa zilizopo ktk mwezi mmoja amekwapua hela nyingi kwa mambo binafsi; mbabe na haheshimu viongozi wake
Tangu ateuliwe hajakutana na hataki kukutana na viongozi wakuu wa jumuiya
mbona upotoshaji wako mwepesi na rahisi sana kamanda, utalipwa kweli?🐒
 
Katibu mkuu wa wazazi ndg Ally Hapi yupo katika mgogoro mkubwa na viongozi wa jumuiya hiyo- Tarifa zilizopo ktk mwezi mmoja amekwapua hela nyingi kwa mambo binafsi; mbabe na haheshimu viongozi wake
Tangu ateuliwe hajakutana na hataki kukutana na viongozi wakuu wa jumuiya
Sio kweli
 
Amekuwa kama Mwenezi kila siku yuko majukwaani?!
Tunajiuliza Kwani kazi ya ukatibu inahitaji namna hiyo ya ufanyaji kazi?
 
Back
Top Bottom