Ni aibu kwa bunge la Tanzania kususiwa na wananchi

relax, mihemko sio deal kamanda....

ati Mungu awachukue

unadhani huyu Mungu ni wako pekeyako na wewe unaweza kumuelekeza chochote tu
Hizi uchafu na vijikuu vya wileya na mikea vikufe tu tuzikege vinauwa watu kwa kutoweka hospitali zahanati na kuhudumia wenye shida
 
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja
Bunge limepoteza mvuto kabisa
Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge

Nakumbuka kabla ya bunge
Kuwa la chama kimoja
Wakati huu wa bunge la bajeti
Wananchi wanakua makini.
Kufuatilia nini kinasemwa na waziri husika.
Lakini kwa bunge hili la bajeti la sasa
Watu hawana habari kabisa wala kutaka kujua nini kinaendelea
Kwenye vikao vya bunge la bajeti

Sababu yakususia yanayo endelea bungeni.
Wananchi wame ona hakuna jipya.

Bunge limebaki kuwa la mapambio yani hakuna hoja ya maana
Inayo zungumzwa zaidi
Ya mapambio kwahio
Baadhi ya wananchi wenye akili timamu
Wanaona hawawezi kupoteza mda wao
Kwa ajili yakusikiliza mapambio

Aibu kwa bunge la Tanzania kususiwa na wananchi wao
Kwa akili za ccm wanaona wamefanikiwa kuwapumbaza wananchi wanajitekenya na kucheka!
 
acha upotoshaji kamanda 🐒

Bunge ni la wananchi, na waliomo ndani yake mule mjengoni ni wanainchi pia. sasa unatenganishaje wanainchi na wanainchi sasa 🐒

eti mvuto 🤣

kwahivyo kazi ya bunge ni kua na mvuto?🤣

watu wavivu bana 🐒
yaani badala ya kufanya kazi zako kwa bidii na hao wa huko mjengoni tupige kazi kwa bidii kwa mujibu wa sheria, taratibu, kanuni na katiba kwa maslahi ya Taifa, kumbe kuna jamaa linasubiria mvuto 🤣
Wewe ni mbunge wa jimbo gani tiratira wewe? You are talking shit man! Bunge la sasa hivi limepoteza mvuto, jana wanashangaa mdoli ndiyo useme kuna wabunge wenye akili humo?
 
mvuto sio kazi yake. mvuto tafuta huko uliko 🐒

Bunge ni kazi kazi kwa mujibu wa sheria, kanuni, taratibu na Katiba ya nchi. upende usipende, bunge litatekeleza wajibu na majukumu yake kwa bidii na weledi kwa kuzingatia hayo kwa maslahi mapena ya waTanzania wote 🐒

by the way umelikodolea macho bunge mno na huku halikuvutii?
 
Huo muda nautoa wapi kuangalia uchafu?
 
J
acha upotoshaji kamanda 🐒

Bunge ni la wananchi, na waliomo ndani yake mule mjengoni ni wanainchi pia. sasa unatenganishaje wanainchi na wanainchi sasa 🐒

eti mvuto 🤣

kwahivyo kazi ya bunge ni kua na mvuto?🤣

watu wavivu bana 🐒
yaani badala ya kufanya kazi zako kwa bidii na hao wa huko mjengoni tupige kazi kwa bidii kwa mujibu wa sheria, taratibu, kanuni na katiba kwa maslahi ya Taifa, kumbe kuna jamaa linasubiria mvuto 🤣
Haichekeshi
 
J

Haichekeshi
unaona sasa tatizo lilivyo kubwa 🐒

huku unataka bunge liwe na mvuto uinjoy,
huku unataka kuchekeshwa, ni tatizo binafsi kubwa sana hili 🐒

hata hivyo ni vizuri kuelewa na kufahamu kazi, wajibu na majukumu ya bunge vizuri...

hiyo ya mvuto na kuchekesha au kukupendeza sio jukumu la bunge, hiyo nadhani unaweza itafuta maeneo mengine, hususani unapoishi, sio kwenye muhimili huu muhimu sana wa dollar ya Tanzania 🐒
 
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja
Bunge limepoteza mvuto kabisa
Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge

Nakumbuka kabla ya bunge
Kuwa la chama kimoja
Wakati huu wa bunge la bajeti
Wananchi wanakua makini.
Kufuatilia nini kinasemwa na waziri husika.
Lakini kwa bunge hili la bajeti la sasa
Watu hawana habari kabisa wala kutaka kujua nini kinaendelea
Kwenye vikao vya bunge la bajeti

Sababu yakususia yanayo endelea bungeni.
Wananchi wame ona hakuna jipya.

Bunge limebaki kuwa la mapambio yani hakuna hoja ya maana
Inayo zungumzwa zaidi
Ya mapambio kwahio
Baadhi ya wananchi wenye akili timamu
Wanaona hawawezi kupoteza mda wao
Kwa ajili yakusikiliza mapambio

Aibu kwa bunge la Tanzania kususiwa na wananchi wao
We ndio watanzania? Watanzania tunafuatilia bunge letu, we wafuatilie hayo nyumbu wako ambao hawana la kutusaidia
 
Hatuna bunge bali ni kusanyiko la wahuni /majambazi waliojihalalisha.
Ni kundi la wahujumu uchumi waliojihalalisha, wananchi wengi wameshawashtukia ndio maana wananchi wengi wanawachukia wabunge wao.
Mbunge ni mwizi wa mali za umma
Km bado hauko Mirembe, nenda katibiwe
 
unaona sasa tatizo lilivyo kubwa 🐒

huku unataka bunge liwe na mvuto uinjoy,
huku unataka kuchekeshwa, ni tatizo binafsi kubwa sana hili 🐒

hata hivyo ni vizuri kuelewa na kufahamu kazi, wajibu na majukumu ya bunge vizuri...

hiyo ya mvuto na kuchekesha au kukupendeza sio jukumu la bunge, hiyo nadhani unaweza itafuta maeneo mengine, hususani unapoishi, sio kwenye muhimili huu muhimu sana wa dollar ya Tanzania 🐒
Hoja yako hapo juu haichekeshi
 
unaona sasa tatizo lilivyo kubwa

huku unataka bunge liwe na mvuto uinjoy,
huku unataka kuchekeshwa, ni tatizo binafsi kubwa sana hili

hata hivyo ni vizuri kuelewa na kufahamu kazi, wajibu na majukumu ya bunge vizuri...

hiyo ya mvuto na kuchekesha au kukupendeza sio jukumu la bunge, hiyo nadhani unaweza itafuta maeneo mengine, hususani unapoishi, sio kwenye muhimili huu muhimu sana wa dollar ya Tanzania
Tunajua kwa mujibu wa sheria
Mabunge yote duniani.kazi yake kuishauri serikali na kuisimamia
Yani kutunga sheria
Lakini kwa bunge hili la nzi wa kijani watupu halifanyi hivyo
Kazi yake kubwa kusifia kuimba mapambio na ndio maana tunasema halina mvuto

Mvuto tunao usemea sisi bunge limeacha kazi yake na kugeuka kuwa la mapambio
Sisi raia ambao atuja athirika na moshi wa mwenge aturidhwishi na
Bunge linavyo endelea
Na unaposema tunasema halina mvuto halafu tuna angalia
Kuangalia kwetu ndio kumetufanya tujue pale hakuna bunge kuna vikao vya kupeana pesa
Mbunge ana simama anasema anaishukuru serikali kwa kuleta maendeleo jimboni kwake .
Haliakua anajua jimboni kwake mambo yapo hovyo hakuna maji hakuna madawati shuleni kuna upungufu wa walimu umeme tabu ajira hakuna hospitali dawa hakuna
Michango shuleni mpaka inakera
Yani matatizo yote haya huyo mbunge anayajua na yapo jimboni mwake lakini akiwa mule kwenye vikao vya kugawana pesa anasema mambo mazuri jimboni kwake
Sasa wewe huoni hao wanaojiita wabunge na huo mdori walio ueka
Hapo bunge wote wanafanana tu
Na wanakua hivyo kwasababu wanajua kama kule bungeni wao hawajapelekwa na wananchi wamepelekwa na vyombo vya dola
Ndio maana hawaguswi na matatizo ya wananchi
 
ng'ang'ana na kazi yako ya kujipatia chochote kitu, hii ya kubabaika na kazi na bidii za wengine itakupotezea wakati wako bila faida yoyote :whatBlink:
 
Kazi zote mmechukua nyinyi mnapeana kiukoo
Kama kuna kazi mtaani
Acha hio kazi yako udc na wewe
Uje ufanye kazi hata Makonda anajua
Kama mtaani kugumu
Wewe unasema fanya kazi yako kwa bidii umeiona hio kazi n
Ndio maana nakuambia acha kazi yako ya ukuu wa wilaya na wewe uje afanye kazi huku uraiani
 
acha upotoshaji kamanda,

si kweli,
hakuna aliechukua kazi ya mtu na kugawana kwenye ukoo wake, hilo halipo kabisa kamanda :spandauB:

mimi nafanya kazi ya wanainchi kwa bidii na weledi, kwa pamoja na wanainchi wenyewe. lakini jata siku moja siwezi kuzembea hata kidogo kazi yangu ya msingi na ya uhakika ya kilimo na hii ingine ya mang'ombe.

Lakini pia siwezi kuacha wala kuzembea hata kidogo kujibiri, kufundisha huko chuoni na humu jukwaani na hii kazo ingine ya siasa. hayo ni mambo ambayo binafsi nafanya kwa bidii sana, bila kubabaika na kazi ya wengine labda niwe nimemaliza kazi yangu kwanza.....:BillyApprove:
 
Kama mwalimu mwenyewe ndio wewe
Basi ni wape pole wanafunzi wako
Kwa khasara yakua na mwalimu wahaina yako
 
hasara, stress na maumivu wanapata zaidi walalamishi na wanung'unikaji wavivu, mie wala sibabaiki na kichwa ngumu kuelewa ya mtu yeyote, kwenye bidii ya kazi na shughuli zangu, kwa familia na wanainchi wangu :pedroP:
 
Back
Top Bottom