wachawi watu bundi mtumwa
Member
- Feb 18, 2024
- 44
- 58
Kuna wanawake ni balaa usiombe kukutana nao acha kabisa , wewe yasikie Kwa watu nilishawahi kukutana na wanawake ababe balaa:
1. Alikuwa ni msukuma huyo hata wanaume muwe 3 hamumuwezi akiamua KULETA noma mtapoteana alikuwa ni mdada MZURI mnene shepu shepu kaenda hewani anakula sigara , bangi na pombe Sasa jichanganye uingie kwenye 18 zake utachakaa!
2. Huyu alikuwa ni mbishi balaa alikuwa anafanya KAZI za baa alikuwa ana mpenzi wake jamaa kama mpemba hivi , yule mpemba alikuwa anapigwa kama mtoto siku akizingua anakula kichapo mpaka anamuomba msamaha mkewe walikuja kuachana baada ya huyo mpemba kumkimbia huyo mwanamke
3. Huyu alikuwa Binti wa kiluguru aliolewa na RAFIKI yangu , huyu mwanamke alikuwa ni mgomvi utadhani yule Nyegele Yaani haogopi kitu basi ukitokea ugomvi kati yake na mumewe Yaani watapigana kama majogoo , Yani Ili ugomvi uishe ni lazima mmoja afloat ( Yaani azime ) kama atazima mwanamke muda ukifika akazinduka basi ugomvi unaanza upya Yaani kama atashika shoka TWENDE kama ni panga poa kama ni mpini lazima utapelekewa , Ilibidi jamaa ainue mikono kunususuru maisha yake
Haya nimeyashuhudia mwenyewe sio ya kuhadithiwa
4. Alikuwa ni Mnyakusya halafu mgambo wa jiji nae ni bonge la mtu limepanda hewani hatari lilikuwa na sura mbaya ila litata balaa Mume wake alikuwa anapigwa kama kondoo , alikuja kufanikiwa kumkimbia baada ya ugomvi mkubwa uliopelekea mwanamke kuvunjwa mguu na kuwekewa mhogo
aisee Kuna wanawake wagomvi nyie acha tu