Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume(barbershop) iliyopo makongo stend (mageuzio).
Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani sitoweza kusimamia nikiwa nje ya dares Salam ( mkoani). Saloon iko full ina viti vya kunyolea (barbershop...
Wakuu husikeni na mada hapo juu. nahitaji kujua wapi nitapata kiti kama hichi Cha Saloon ya kiume kwa budget ya 700k, nahitaji viti viwili vipya lkn vya muundo kama huu. Au kama Kuna mtu anavyo anaviuza plz nichek dm. Viwe vipya tu sio used.
Ndicho nachoweza kusema, machozi ya Watanzania kuhusu kero mbalimbali kwa sasa hayana mtu wa kuyafuta. Sio watawala, sio wapinzani, sio taasisi za kidini Wala yeyote yule. Watanzania tunapigwa bakora za ukosefu wa maji ya uhakika,kupanda kwa gharama za maisha(sukari) kupanda kwa bei za vifurushi...
Wanajamvi habari zenu,
Jamani nimekuja hapa kuomba ushauri nahitaji kununua TV kwa ajili ya project yangu flani hivi. TV nazotaka ni hizi za kawaida kabisa kulingana na budget yangu, sasa kati ya hizi kampuni za kichina ya koditek, boss, Sundar, Alyon n.k ipi itafaa? Nahitaji nipate walau pc4...
Toka ujana wako wote mpaka unafikia umri huo hukujenga hata kichumba na kisebule eti unasubilia kijana wako uliemzaa asome kuanzia kindigate mpaka chuo, atafute ajira, ahangaike weee!! Ndo aje akujengee??? Aaahhh! Uzembe ulioje huo?
Yaani wewe miaka yote ya ujana wako mpaka unazeeka ulishindwa...
Wakuu habari za humu!
Naomba niende kwenye mada- ni wiki ya pili sasa Toka nianze kuona dalili ambazo kiukweli zinanipa wasiwasi na leo nimeona jiingie humu jukwaani kupata ushauri wa kitalamu au kimawazo kutoka kwa wataalamu wa humu ndani.
Hapo kati nilipata homa Kali sana japo haikunilaza...
Wana jukwaa habari zenu!
Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho nimekiona ktk ka utafiti kangu kadogo kuhusu biashara nyingi za maduka ya nguo na saloon ama za kiume au za kike kufa kifo Cha mende.(hasa kwa maeneo ambayo yapo pembezoni mwa mji)
Nimekuja kugundua watanzania walio wengi...
Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala. Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana
Nadhani kwa wadau ambao ni wakazi wa pembezoni mwa miji hasa goba watakubaliana na Mimi(sijajua katikati ya Jiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.