Nimesiiliza sana clip ya DC wa Muheza na mpaka sasa nimeshindwa elewa kuna nini. Kwanza nikiri mimi nafanya biashara japo siyo kubwa ila nakumbuka kama sikosei ilikuwa sikukuu ya Iddi Mh Rais alisema baadhi yetu wafanyabiashara tumeanza kuiibia Serikali kwa kudanganya na kukwepa kodi.
Kila...
Ni kero kutwa nzima hakuna umeme na bado usiku mnakata tena umeme na hali hii ya joto Dar es salaam. Hakuna taarifa wala nini unakuta hakuna umeme.
Mmetulaza giza usiku kuamkia leo na sasa mmekata tena umeme . Hali hii tuishi nayo mpaka lini? Mbona mvua mikoani zinanyesha Morogoro mvua kubwa...
Kwanza kabisa niwapongeze kwa kuwa na usafiri mzuri na wa uhakika ila niwape ushauri kidogo.
Hata kama ni daraja la Economy tambueni kuna watoto, wazee na wanaohitaji msaada. Tiketi hata za basi siku hizi kuna namba ya siti ila kwenye boti zenu daraja la economy kiukweli mnakose. Boti inajaza...
Ndugu zangu TANROAD niwaombe sana mtuonee huruma na vigari vyetu na usalam pia. Kilichofanyika barabara ya Morogoro kwenda Dodoma mbele ya hotel ya Flomi karibu na kituo cha kupozea umeme hapo msamvu ni kero.
Zile rasta mlizoweka 6 zinaumiza magari na nimeshuhudia ajali mbili mfululizo...
Nimepokea ujumbe toka kwa viongozi wangu wa biashara kuwa jumatatu tunatakiwa tusifungue biasharaeneo la kariakoo. Nimeuliza wenzangu wameniambia kuwa tra juzi walitoa maelekezo ya kujisajili stoo tunazomiliki, kama mtu unayo stoo ya kuhifadhia bidhaa za biashara.nimempigia jamaa yangu kumuuliza...
TRA yatoa taarifa ya maboresho ya mifumo yake kuanzia feb 3 mpaka feb 5 2023.
=====
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kufanya maboresho ya Mifumo hiyo kuanzia Februari 3, 2023 Saa 12 kamili Jioni ili kuongeza ufanisi wa Huduma zinazotolewa
Huduma za Usajili wa Namba za Utambulisho...
Nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa kwa hatua aliyochukua kuhusu kero ya maegesho ya gari toka Tarura walipojikita na mfumo wao.
Ni kweli Tarura walifikia hatua ya kujisahau kazi yao ya msingi na kuamua toza tozo za maegesho ndiyo maana hata kero walikuwa hawajali...
Nakumbuka mwanzo mwezi wa oktoba 2021 mfumo huu ulipokuja ulikuwa na changamoto nyingi mpaka ikabidi usimamishwe kwanza ili kuangalia namna mpya ya mfumo unavyofanua kazi ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji wa maegesho.Lakini cha kushangaza mfumo huu umerudi na mbaya zaidi tatizo badala kuwa...
Naona lile zoezi la TRA la kamata wote kumbe kweli du, kumbe wapo kweli kazini naona matukio jana walikuwa Jangwani na Kariakoo yaani ukiwa hujatoa risiti au hujaomba risiti unao.
#TEGETA Maafisa wa TRA Mkoa wa kodi wa Tegeta leo 03/02/2022 wameendelea na zoezi la ukaguzi wa risiti za #EFD kwa...
Utaratibu huu mpya hasa jiji la Dar es salaam kuhusu tozo za maegesho ya gari wahusika wautizame upya.Sipingi kuhusu toz hii bali utaratibu siyo mzuri na unaleta urasimu au usumbufu kwa watumiaji wa magari pale wanapoegesha.
Sasa hivi ukiegesha gari waliopewa jukumu kusimamia wana scan na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.