Sijui kama unanielewa, namaanisha hivi, huyu bila shaka kilichomng'oa kazini ni uhai wa Lissu, lakini waliomuondoa usitegemee waseme hivyo, watatafuta kisingizio chochote.
Ikiwa waliojitokeza kumchangia damu Lissu na waliojitokeza kumuombea walishughulikiwa waziwazi hadharani unashangaa nini...
Hakuna hiyo, huwezi kupatanishwa na Shetani, Dawa ni kulipa kisasi tu, na wala hakuna popote kwenye vitabu vya Mungu Palipoandikwa kupatanishwa na Shetani
Nina ushahidi wa mzee mmoja Mnyakyusa wa Kyela aliyekufa kwa kiharusi baada ya Nyumba yake kubomolewa Kimara, tena nyumba ilikuwa mbali mno! Cha kushangaza eneo lile halikufika kabisa barabara yenyewe wala hata mitaro!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.