Zitto Kabwe naye kama Saanane, "ajipoteza"!

Sasa yeye anataka aonyeshwe mahindi, yaani Waziri Mkuu aache kazi zake aende akamuonyeshe mahindi! Kwani Zitto haswa ni nani? Zitto ni mbunge na kiongozi pia, yeye anatakiwa ashirikiane na serikali na sio kwa vitisho vya kujiuzuru, kwani akijiuzuru kitatokea kitu gani? Mvua itanyesha? Lugha anayotumia ni ya vitisho, ambavyo amezowea kutisha bila ya vitendo, tumechoka naye. Nitawataja waficha pesa uswiss, hakuwataja, nitajuzuru, nitapetition nimuondoe Rais Magufuli, anaongea upuuzi mtupu. Majaliwa hana haja ya kudanganya, anachozungumuza ana uhakika Watanzania hawawezi kufa na njaa, bado Zitto anapayuka. Yeye kama kiongozi anafanya nini? Kupayuka tu! Tumechoka hatutaki kumsikia.
Aonyeshe hadharani, amuumbue Zito na afunguliwe mashtaka. Yatakuwa yamekwisha. Ngojera nyingine au vitisho vya polisi havitusaidii Watz. Tungependa tuwaamini viongozi wetu, lakini wanapata kigugumizi gani kwenye hili?
 
Vema. Kwa majibu haya nikuombe tu ndugu Kabombe, si busara kumchafua Zito kwa suala la uraia kisa tu unadhani asili ya jina lake ni Burundi. Ukisoma historia, wakati Mjerumani anatutawala, Burundi na Rwanda hazikuwepo kama nchi bali zilikuwa sehemu ya Tanganyika. Sasa hii mipaka iliwekwa tu baadaye, nadhani baada ya vita ya kwanza ya dunia hivyo hawa kujikuta upande ule na wengine upande mwingine. Jina haliwezi kuwa hoja ya uraia ndugu yangu. Tukubaliane kutokukubaliana katika hoja kuliko kuzushiana tuhuma zisizokuwa na uthibitisho. Kwa taarifa tu ni kuwa watu wa Kigoma na Ngara wanatumia lugha moja na waburundi, hivyo majina kufanana si hoja kwani yanaashiria kitu fulani katika lugha yao.
 
Mkuu nadhani umekwenda mbele sana.Kumsema mtu jina lake au kusema kuwa ni Mrundi sio kashfa.Mtu kuitwa mrundi au kuwa na asili ya Burundi au kuwa mrundi sio dhambi.
Warundi ni watu kama watanzania.Kusema zitto ni mrundi au ana asili ya Burundi sio kashfa wala sio dhambi,ni jukumu lake tu kuthibitisha pasi na shaka yoyote(kama italazimu) kuwa yeye ni mtanzania kisheria basi.
 
Tatizo liko katika namna ulivyowakilisha hoja ile. Bila shaka ukiisoma tena, lazima uta edit. Vinginevyo nikushukuru kwa busara uliyoionesha leo katika mjadala huu. Vitu vyenye mantiki nimuhimu tuvijadili kwa hoja kuliko ushabiki wa kisiasa.
 
Zitto amekimbilia kwao Burundi,kaonekana anavuka mpakani manyovu.
Hapo ndipo napata mashaka na watu kama hawa.wanakuja kuwasha moto Tanzania,wakitafutwa wanakimbilia kwao Burundi,ni watu waliozoea vita na figisu figisu
Kweli kabisa! Kama yule mwenye asili Rwanda ambaye hata kama watu wanaumwa njaa na wanaponea embe analazimisha waimbe " tumevimbiwa ugali! Yo yo yo! Hatuna njaa &$!!^^* hongera baba mtakatifu mkuu! Oya oya oya! "
Kweli asili ya mtu ni muhimu kuichunguza. Namkumbuka marehemu Mtikila alisema wakati ule kuwa Mmakonde mmoja wa Msumbiji hana uchungu hata akiona watu wa TZ wakiishi shimoni kule Mombasa.
Asante kwa angalizo.
 
ccm bwana kwa kuhalarisha mauaji na utesaji.
Baadaye ulimboka alijinyofoa kucha na meno na kujitupa msitu wa mabwe pande. Alafu mtasema Mwangosi alikuwa gaidi alijilipua kwa mabomu....Na baadaye mtasema magaidi wa ambone bado wanasakwa....
 
Kwahiyo mnataka Zitto akae na kusifia tu .............

Rais lazima asemwe kama hataki kusemwa ajiuzulu.......

Hatuwezi kuwa na Rais asiyependa kusemwa...........

Wakati yeye ni mpiga porojo number moja.......

Lazima Rais asemwe kama hataki kusemwa aende kuchunga ng'ombe au kuvua samaki...............
Kwa hiyo kujipoteza inatoaje solution to your listed issues?
 
Sasa yeye anataka aonyeshwe mahindi, yaani Waziri Mkuu aache kazi zake aende akamuonyeshe mahindi! Kwani Zitto haswa ni nani? Zitto ni mbunge na kiongozi pia, yeye anatakiwa ashirikiane na serikali na sio kwa vitisho vya kujiuzuru, kwani akijiuzuru kitatokea kitu gani? Mvua itanyesha? Lugha anayotumia ni ya vitisho, ambavyo amezowea kutisha bila ya vitendo, tumechoka naye. Nitawataja waficha pesa uswiss, hakuwataja, nitajuzuru, nitapetition nimuondoe Rais Magufuli, anaongea upuuzi mtupu. Majaliwa hana haja ya kudanganya, anachozungumuza ana uhakika Watanzania hawawezi kufa na njaa, bado Zitto anapayuka. Yeye kama kiongozi anafanya nini? Kupayuka tu! Tumechoka hatutaki kumsikia.
Sasa kama kapayuka mbona hamumfungulii kesi ili akatoe ushahidi huko??? Au mbona hamumuiti kamati ya maadili ya wabunge akathibitishe madai yake??? Kwa hyo ulitaka waziri mkuu adanganye afu zitto akae kimya?? Ndio maana ya upinzani ni kma pinda alidanganya kuwa escrow sio pesa za serikali zito akasema ni za serikali mwisho wa sikubwote tunajua alieumbuka je kwanni msimpe benefit of doubt ili tujue mbivu na mbichi....mnaogopa nni??
 
Watu wa hivi sio wa kufunguliwa kesi, ni wa kumalizana nao kimya kimya!!!!
 
mbona Jana mida ya tano asubuhi, nimemuona mjini Tabora maeneo ya Bank ya NBC tena akiwa na gali inalodaiwa kutelekezwa, tena likiwa na bendera mbele ikipepea, kuashilia kuwa yumo kiongozi mkuu wa chama,

He bendera inapepea, basi anautamani Urais, angoje kama watu watamchaguwa mwaka 2020 ikiwa bado hajafilisiwa.
 
Back
Top Bottom