zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,916
- 30,426
Acha na wwe kusifia pumba....sasa hapo kaongea lipi la maana zaidi ya kumkosoa zitto bila kuonyesha kosa la zito likwapi.... huyo mama mweupe sana kichwani nlimuuliza swali kule jukwaa la uchaguzi akashindwa kujibu akakimbia tangu hapo nimemdharau sana afu ndo umfananishe na michelle??u serious??Yaani ulichoongea ni "inspirational" kama Michelle Obama mwenyewe.
Umeongea kutoka moyoni, kula 5.
Zitto kosa lake ni kusema mumuonyeshe tani milion 1 au atajiuzulu ubunge?? Kma hamuwezi kuonyesha basi kaeni kimya....sio mnaleta maneno wakati yye kasema mlete ushahidi