Zitto akishindwa kuthibitisha uhusika wa Usalama wa Taifa afanywe nini?

Anatakiwa kuthibitisha,Usalama wa Taifa siyo taasisi ya kuchezewa chezewa tu na kila mtu, ukijisikia kuitamka basi unaitamka tu hapana,lazima utaratibu na sheria zifuatwe
Unaijua sheria ya usalama wa taifa?
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amedai kuwa anaweza kuthibitisha kuwa askari waliovamia Clouds Media ni Usalama wa Taifa. Pia, amedai kuwa askari aliyemtolea bastola Nape Nnauye ni Usalama wa Taifa. Zitto amesema hivyo Bungeni:

Endapo ikiundwa Kamati Maalum/ Teule kuchunguza mambo hayo na Zitto kutakiwa kuthibitisha mambo hayo mbele ya Kamati na akashindwa kuthibitisha, afanywe nini? Kimsingi, si jambo dogo wala la masihara kuhusisha Usalama wa Taifa katika mambo yanayoendelea nchini.

Si muunde hiyo Kamati, kwani mnaogopa nini?
 
Then the burden shift
Mthibitishe nyie
 
Anatakiwa kuthibitisha,Usalama wa Taifa siyo taasisi ya kuchezewa chezewa tu na kila mtu, ukijisikia kuitamka basi unaitamka tu hapana,lazima utaratibu na sheria zifuatwe
Ebu acha kuwatukuza binadamu wenzako, ambao wanaenda kutoa shit chooni kama afanyavyo binadamu yoyote
 
Wakati wa utawala wa awam ya IV Mbunge hasa wa Upinzani AKIONGEA jambo lenye utata hata kama kweli basi on the spot huambiwa "Lete USHAHIDI au FUTA KAULI YAKO" Wapo ambao waligoma kufuta na ushahidi walipeleka lile Lema dhidi ya Mtoto wa Mkulima.

Lakini awam hii, honestly mawaziri wamepigwa ganzi sanaaa, Kwa mjadala wa juzi na jana (Bashe na Zitto) anashindwa kujitokeza waziri hata mmoja kusimama na kuomba "MWONGOZO".

Kimya cha mawaziri hao pia kinatia shaka, nilidhan awam hii ndo kutakuwa na counter attack za kutosha kutoka kwa mawaziri maana "HAWATAKI MCHEZO" kumbe wapi, wapo kimya kabisa kabisa, unaona hata JINA "BARSHITE" linatajwa na akina mdee as if ni official name ila jamaa wapo Kimyaaa.

So ni ngumu sana mtu kuja na kusema Zitto athibitishe alichokisema, au vinginevyo
ukiona hivyo na wao wamechoka na haya yanayoendelea
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amedai kuwa anaweza kuthibitisha kuwa askari waliovamia Clouds Media ni Usalama wa Taifa. Pia, amedai kuwa askari aliyemtolea bastola Nape Nnauye ni Usalama wa Taifa. Zitto amesema hivyo Bungeni:

Endapo ikiundwa Kamati Maalum/ Teule kuchunguza mambo hayo na Zitto kutakiwa kuthibitisha mambo hayo mbele ya Kamati na akashindwa kuthibitisha, afanywe nini? Kimsingi, si jambo dogo wala la masihara kuhusisha Usalama wa Taifa katika mambo yanayoendelea nchini.

Yeye ni mtu mzima, atajua mwenyewe!
 
Yapo mengi yamejificha mkiendelea kusaka uthibitisho mtapata Aibu kubwa
 
Zitto hawezi kuongea kitu ambacho hana uhakika nacho,atathibitisha lakini wahusika watakubali kuwa Zitto kathibitisha kile alichokuwa anakisema?na je wahusika watamupa nafasi Zitto ya kuwezakuthibitisha anachokisema wakati wanajua kinaathali kwao?.
Hayo ndiyo maswali ya kujiuliza, na kwa serikali hii tuliyo nayo lazima jibu ni HAPANA kwa maswali yote
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amedai kuwa anaweza kuthibitisha kuwa askari waliovamia Clouds Media ni Usalama wa Taifa. Pia, amedai kuwa askari aliyemtolea bastola Nape Nnauye ni Usalama wa Taifa. Zitto amesema hivyo Bungeni:

Endapo ikiundwa Kamati Maalum/ Teule kuchunguza mambo hayo na Zitto kutakiwa kuthibitisha mambo hayo mbele ya Kamati na akashindwa kuthibitisha, afanywe nini? Kimsingi, si jambo dogo wala la masihara kuhusisha Usalama wa Taifa katika mambo yanayoendelea nchini.

huyu zitto misifa tu utadhani gazeti la mipasho. sasa kama usalama wa taifa wanafanya kazi yao sasa ushuhuda wake unasaidia nini kama sio kujionyesha msaliti. bashe anaeleweka ni mbeba mabegi ya rostam aziz na kundi lao. je zitto kuiandama serikali ya jpm ni kwa maslahi ya nani.
 
Zitto huyu aliyekana kwa kiapo kuwa hamjui mtu hata mmoja aliyeficha fedha Uswiz! Kabla ya kukana tayari alishatuaminisha wengi kuwa pesa zimefichwa Uswiz na ushahidi anao. Siwezi kuyaamini maneno ya Zitto tena
 
Anatakiwa kuthibitisha,Usalama wa Taifa siyo taasisi ya kuchezewa chezewa tu na kila mtu, ukijisikia kuitamka basi unaitamka tu hapana,lazima utaratibu na sheria zifuatwe
Duhh! Naona unawatukuza sana hao jamaa
 
Ingia kwenye Twitter yake utaona kapost Tiss act utajijibu najua maana wao wenyewe wanajua wanchokifanya wakisema wakomae nae yatatokea madudu kibao huko ndani
 
Hawezi shindwa kuthibitisha maana hata aliyemtolea Nape pistol anajulikana, waliovamia clouds wanajulikana na sura zao zipo, sidhani Zitto ni mjinga kutokujua background ya wale watu akaja kutoa tu matamko, kati ya watu ambao hua wanafanya research zao kabla ya kutamka wa kwanza ni Zitto, kuna mwingine anaitwa Lissu, hua hawaropoki tu wanajua vizuri sheria inaweza kuwageukia anytime.
Tutajie na wanaoropoka pia ambao wanaropoka bila kufanya research! Kiroho safi tu.
 
huyu zitto misifa tu utadhani gazeti la mipasho. sasa kama usalama wa taifa wanafanya kazi yao sasa ushuhuda wake unasaidia nini kama sio kujionyesha msaliti. bashe anaeleweka ni mbeba mabegi ya rostam aziz na kundi lao. je zitto kuiandama serikali ya jpm ni kwa maslahi ya nani.
Tuliza tako sindano iingie
 
Back
Top Bottom