Zitto akishindwa kuthibitisha uhusika wa Usalama wa Taifa afanywe nini?

Tatizo watu wa tiss na vibaraka wao wamevamia tu jukwaa kujaribu kujitetea na kutisha watu.Achen unafiki hv asiejua kuwa mashirika yote ya kijasusi yana vitengo vya utesaji ni nani?mbona mnajifunga vitambaa vyeupe kwenye giza mkiamini hamtaonekana?Acheni tabia za mbuni.Toen ufafanuzi na muache kujivua nguo.Tunawatazama tu na utetezi wenu wa kijingajinga;ooh wamejiteka,wametekana,wametekwa na kikundi fulani,n.k.Hiv mnajua wajibu wenu kweli ktk kulinda nchi na watu wake?Mnajiaibisha kwa maelezo na propaganda nyepesi.Toeni majibu ya kitafiti sio huu upuuzi mnaoleta sasa.Mnaboa
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amedai kuwa anaweza kuthibitisha kuwa askari waliovamia Clouds Media ni Usalama wa Taifa. Pia, amedai kuwa askari aliyemtolea bastola Nape Nnauye ni Usalama wa Taifa. Zitto amesema hivyo Bungeni:

Endapo ikiundwa Kamati Maalum/ Teule kuchunguza mambo hayo na Zitto kutakiwa kuthibitisha mambo hayo mbele ya Kamati na akashindwa kuthibitisha, afanywe nini? Kimsingi, si jambo dogo wala la masihara kuhusisha Usalama wa Taifa katika mambo yanayoendelea nchini.

Maajabu haya.Kasema hadharani na kwa msisitizo.Kabla hata hajaambiwa kuthibitisha wewe unachomoza na hukumu kuwa akishindwa itakuwaje?Mbona unachomoza na mtizamo hasi?GT alitakiwa achomoke na hoja kwamba ikatokezea amethibitisha juu ya madai yake serkali itachukua uamuzi gani kwa kashifa hiyo.
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amedai kuwa anaweza kuthibitisha kuwa askari waliovamia Clouds Media ni Usalama wa Taifa. Pia, amedai kuwa askari aliyemtolea bastola Nape Nnauye ni Usalama wa Taifa. Zitto amesema hivyo Bungeni:

Endapo ikiundwa Kamati Maalum/ Teule kuchunguza mambo hayo na Zitto kutakiwa kuthibitisha mambo hayo mbele ya Kamati na akashindwa kuthibitisha, afanywe nini? Kimsingi, si jambo dogo wala la masihara kuhusisha Usalama wa Taifa katika mambo yanayoendelea nchini.

Ashindweje wakati amesema anataarifa?? sema labda taarifa zake zishindwe kutoshereza au kukidhi matakwa ya makamati
 
Sikuizi kuna baadhi ya watu wanaamua tu,kuongea lolote ili akamatwe apate kiki.
Wasimuige Tundulisu, anakuwaga na fact.
 
Kumbe hukubaliani kuunda tume, lakini ameshunda VIKAMATI sasa viwili.Aliahidi hataunda, ila ndo ameshaanza kuunda,je unaendelea kumuamini huyu?

Mimi si Kama Wewe sina tabia ya ku conclude.

Nitamuunga Mkono Rais akipatia na nitamkosoa akikosea, Wewe endelea kukosoa kila kitu!

Ndio Sababu sikubaliani nae kwny baadhi ya Mambo na baadhi ya mambo namuunga Mkono
 
Wewe endelea kumsifia na kumkosoa,mie naendelea kumkosoa.
Uzur TUSIPANGIANE
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amedai kuwa anaweza kuthibitisha kuwa askari waliovamia Clouds Media ni Usalama wa Taifa. Pia, amedai kuwa askari aliyemtolea bastola Nape Nnauye ni Usalama wa Taifa. Zitto amesema hivyo Bungeni:

Endapo ikiundwa Kamati Maalum/ Teule kuchunguza mambo hayo na Zitto kutakiwa kuthibitisha mambo hayo mbele ya Kamati na akashindwa kuthibitisha, afanywe nini? Kimsingi, si jambo dogo wala la masihara kuhusisha Usalama wa Taifa katika mambo yanayoendelea nchini.

Umejiuliza ni kwanini Bunge alijamtaka athibitishe?
 
Husein BASHE alithibitisha hilo yeye mwenyewe akiwa Dodoma alikamatwa na usalama wa taifa
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amedai kuwa anaweza kuthibitisha kuwa askari waliovamia Clouds Media ni Usalama wa Taifa. Pia, amedai kuwa askari aliyemtolea bastola Nape Nnauye ni Usalama wa Taifa. Zitto amesema hivyo Bungeni:

Endapo ikiundwa Kamati Maalum/ Teule kuchunguza mambo hayo na Zitto kutakiwa kuthibitisha mambo hayo mbele ya Kamati na akashindwa kuthibitisha, afanywe nini? Kimsingi, si jambo dogo wala la masihara kuhusisha Usalama wa Taifa katika mambo yanayoendelea nchini.

Hii idara imeshapoteza muelelekeo kabisa kama hizi tuhuma watakuwa wanahusika nazo kwa namna moja au nyingine kutakuwa hakuna maana yakuwaita usalama wa Taifa .Wapewe jina lingine tu usalama wa CCM.
 
Husein BASHE alithibitisha hilo yeye mwenyewe akiwa Dodoma alikamatwa na usalama wa taifa

Bashe ukimuuliza Tofauti ya Kachero na Jasusi hajui lakin bado anasema katekwa na Usalama wa Taifa!

Alikamatwa na Polisi wa Dodoma na RPC akathibitisha Hilo lakin bado anatafuta Kick y kuwataja Usalama
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amedai kuwa anaweza kuthibitisha kuwa askari waliovamia Clouds Media ni Usalama wa Taifa. Pia, amedai kuwa askari aliyemtolea bastola Nape Nnauye ni Usalama wa Taifa. Zitto amesema hivyo Bungeni:

Endapo ikiundwa Kamati Maalum/ Teule kuchunguza mambo hayo na Zitto kutakiwa kuthibitisha mambo hayo mbele ya Kamati na akashindwa kuthibitisha, afanywe nini? Kimsingi, si jambo dogo wala la masihara kuhusisha Usalama wa Taifa katika mambo yanayoendelea nchini.

POROJO ZA bungeni tu hizo achana nazo.YULE MBUNGE WA rombo selasini alisema ana ushahidi kibao kuhusu mali za makonda alipoitwa kutoa huo ushahidi akasepa kuwa yale yalikuwa mambo ya ndani ya bunge hahitaji kuhojiwa nje ya bunge ni muhimili tofauti!!! Aliropoka vile akijua ana kinga za kibunge hata kwa mambo ya kibwege.Hata zito ni hivyo hivyo sana sana ni njaa ilikuwa inamsumbua alikuwa akijipigia debe kuwa asisahaulike kuwemo kwenye kamati itakayoundwa ya bunge kama itaundwa ili apate zile posho nene za kamati za bunge.USIONE alivyokuwa akitoa macho vile ni kutafuta ulaji alikuwa kwenye kampeni kuwa msinisahau mimi nina ushahidi hewa!!!!
 
Zitto hajapewa dhamana ya kulinda ni vyombo vya dola chini ya serkali hii dharimu ya ccm......
Kabla ya kufikiria zitto kushindwa, Tuanze kwanza kwa kujiuliza akithibitisha tuifanye nn serikali na ccm?
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amedai kuwa anaweza kuthibitisha kuwa askari waliovamia Clouds Media ni Usalama wa Taifa. Pia, amedai kuwa askari aliyemtolea bastola Nape Nnauye ni Usalama wa Taifa. Zitto amesema hivyo Bungeni:

Endapo ikiundwa Kamati Maalum/ Teule kuchunguza mambo hayo na Zitto kutakiwa kuthibitisha mambo hayo mbele ya Kamati na akashindwa kuthibitisha, afanywe nini? Kimsingi, si jambo dogo wala la masihara kuhusisha Usalama wa Taifa katika mambo yanayoendelea nchini.

Tuna mambo mengi ya kufanya,ngoja tupitishe bajeti yetu kwanza
 
Zitto hajapewa dhamana ya kulinda ni vyombo vya dola chini ya serkali hii dharimu ya ccm......
Kabla ya kufikiria zitto kushindwa, Tuanze kwanza kwa kujiuliza akithibitisha tuifanye nn serikali na ccm?

Na Pia Kabla ya kuunda hiyo Kamati jiulize pia watatumia Bajeti ipi na ilipitishwa na Chombo kipi?
 
Back
Top Bottom