BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,572
- 11,985
Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo.
Hii ni nchi inayo saidiwa matundu ya vyoo na vyandarua, yaani Serikali haina uwezo wa kununua vyandarua wala madawa ya kifua kikuu wala Ukimwi, Ila ziara za Raisi zina msululu wa magari in total kama 500 hivi bado watu wanavyi lipana posho huko.
Hawawazi kwamba kuna wamama wajawazito sasa wanaenda kufa kwa malaria wala hawajali kwamba kuna watu sasa wataisha kwa kifuakikuu, achana na Ukimwi make ni ugonjwa wa kujitakia.
Kuna haja gani Ziara ya mkuu wa nchi kuwa na idadi kubwa kama ile ya magari? Hapo hapo Tanga nenda Hospitali ya Bombo utakuta wagonjwa wamekosa pesa za vipimo.
Marekani kasitisha, Jumuiiabya Ulaya wana mpango wa kupunhua misaada, UK ana mpango pia wa kupunguza misaada ili aelekeze pesa kwenye Ulinzi.
ZIara za Samia ni za kuonyesha ukwasi wa Serikali ilihali raia wanakufa kwa kukosa pesa za vipimo? ndugu wanachangishana hadi wanachoka wanaacha ndugu yao afe.