Zambia iliwahi kupoteza Marais wao wawili waliokuwa madarakani ndani ya miaka 6

huu ni uzi wa nne wa kukumbushia hali fulani. Fuatilia nyuzi zenye muelekeo wa kutoa taarifa fulani ambayo haiko wazi, waweza sema nusanusa, ila hakuna uthibitisho kitakachojiri. Hapa tumia akili kubwa kung'amua mambo
🤣🤣🤣🤣
 
Tatizo la nchi ya Tanzania ni mifumo iliyokosewa tangu mwanzo.

Kinachotokea sasa na kitazidi kutokea ni watu kutafuta wa kumlaumu na kumbebesha lawama mtu mmoja. One person cannot be a sole cause for our problems.

Tatizo la hii nchi ni kila mwananchi kutokuona umuhimu wa kuungana kupigania haki zake.

Tumebakiza kupiga ramli tu na kuombea viongozi vifo. Pathetic
 
Back
Top Bottom