Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,955
Kama ni kweli kilichomuua ni sababu ya huyu mwanamke kuchepuka nje ya ndoa, basi jamaa hana akili kabisa.
Kama ni kweli kilichomuua ni sababu ya huyu mwanamke kuchepuka nje ya ndoa, basi jamaa hana akili kabisa.
Jamaa ni mbinafsi sana..ujiue uache watoto wako makusudi kabisa kisa papuchi?Bright people don't kill themselves bhana tusidanganyane. Huyu jamaa hakuwa bright wala nini, alikuwa "mpumbavu" tu ndiyo maana amejiua sababu ya mwanamke.
Acheni kusifia ujinga, kama mtu amefanya upuuzi hata kama amekufa inapaswa kusema ukweli tu bila kuogopa. Mtu mwenye akili zake hawezi kutoa uhai wake sababu ya Mwanamke na kuacha familia ikiteseka.
Watu kama hawa hawastahili kusifiwa na jamii hata kidigo.
huyo yona ni nyoko tu acha yamkute yaliyomkuta, alizaa na shoga yangu kipenzi, na wakawa wanaishi pamoja kama mke na mme, baadae akautana na huyu eng. mapenzi yakaanza na wakafunga ndoa kisisrisiri ya bomani, wakati huyu dada anataka kwenda masomoni nje(kusoma master). sasa dada livyorudi ham
taki tena yona ila ndo hivyo kishafunga nae ndoa, drama nyingi zimeendelea mpaka ameamua kujirestisha in peace. Mbona shoga yangu hakujiua alivyomcheat hadi kufunga ndoa kimya kimya
ongezea na uchoyo, yaani mimi MR , tarehe tano tu mwanzo wa mwezi kabisa hana hata mia,
mshahara wote akipata anagawanya kwa ndugu zake hata yeye mwenyewe anajisahau atakula nini, hapa nyumbani kama usiponunua chakula hamli nakwambia,basi nilifanya kama naishi mwenyewe tu, mipango ya maendeleo na bajeti nzima ya nyumbani napanga kwenye mshahara wangu, na toka nimeamua kufanya hivyo aah moyo wangu umetulia na mbambo yaenda vizuri tu
Jamaa inasemekana mwanamke alimtolea mahali ila alikuwa anachukuliwa na madingi, ni kama aliolewa ila kama alifunga ndoa labda walipoamia Mbeya. Huku ukumbi ulilipwa gaza sinza na shughuli haikufanyika.
Hapa wanaume wanavolaumu wanawake sasa utadhani wao ni malaika teh funny!!!
Eti bhana, wakati hizo "Papuchi" zimejaa kibao unafanya kuchagua tu mwenyewe, kama unataka mpya au "used".Jamaa ni mbinafsi sana..ujiue uache watoto wako makusudi kabisa kisa papuchi?
Watulie tuendelee kuwavuruga hadi wajue kwanini Adam alifukuzwa bustaniniyaan wamesahau kbs wao wanjinasibu kuchepuka kwako ni sunna !watulie tu kwakweli
Kama ni kweli kilichomuua ni sababu ya huyu mwanamke kuchepuka nje ya ndoa, basi jamaa hana akili kabisa.
Watulie tuendelee kuwavuruga hadi wajue kwanini Adam alifukuzwa bustanini
Na hatuwaachi hadi zifike 10-1hahaha na mpka sasa kipyenga kinatakwa kupulizwa !magoli ni 3-1
Weee weee kuna mtu namjua ameowa hiyo std 7 anamsumbua hadi akikusinulia analia tuu.Kaka ni msomi amebaki kwenda kusoma nje akimaliza course hiii anaomba nyingine.Sasa yupo India huko baada ya kutoka uholanzi.Jamani wacha nionekane mjinga kwa kuoa darasa la saba mwenzangu jamani hawa wanawake waliosoma wenye elimu zao nawaogopa sana kuwatumia katika jambo kubwa sana kama ndoa
ngoja nikucheke tu jiombee wewe na kizazi chako kwanza
Kasome biblia na maanguko ya wateule wa Mungu Halafu ndo uje tubishane acha kushupaza shingo hiyo
Nani!Tusaidieni basi kumuangusha huyu!
huyo yona ni nyoko tu acha yamkute yaliyomkuta, alizaa na shoga yangu kipenzi, na wakawa wanaishi pamoja kama mke na mme, baadae akautana na huyu eng. mapenzi yakaanza na wakafunga ndoa kisisrisiri ya bomani, wakati huyu dada anataka kwenda masomoni nje(kusoma master). sasa dada livyorudi hamtaki tena yona ila ndo hivyo kishafunga nae ndoa, drama nyingi zimeendelea mpaka ameamua kujirestisha in peace. Mbona shoga yangu hakujiua alivyomcheat hadi kufunga ndoa kimya kimya
Haakuna mtu aliyekuwa na mpango na huyo mchepuko mwandamizi aliyepata mwnaume aliyempenda hadi kumsababishia mauti...alisaliti asijione yuko salama maana usaliti ni kama kula nyama ya mtu...aliliwa akaonekana mtamu kwa kuwa alikuwa kwa mtu, sasa ataonekana wa kawaida na Lossy alokuwa anamtumia atatafuta chombo kipya so atabaki kama kopo cha chooni ambalo kila mtu yuko huru kuchambia!Mkuu punguza hasira hembu tuambie mazingira yalikuaje,watu wakisemaje huko msibani
Thats all he had...aliwahi kuandika story ya huyu binti kwa maana ya story kule bidii zamani sanaKama ni kweli kilichomuua ni sababu ya huyu mwanamke kuchepuka nje ya ndoa, basi jamaa hana akili kabisa.
Aah weupe wako siyo mkali kama ule ninaouchukia..Mimi mwenyewe ni mweupe ila "Simple white" Ule weupe uliokolea ndo siutaki halafu nilishawahi kuandika humu kuwa wanawake wafupi mimi sijawahi kuwapenda..Mwanamke anakufikia chini ya bega sasa wapi na wapi? Yani ukute wewe ni mweupe halafu ni mfupi hata kama una neema za sheikh Kipoozeo kwangu ng'oooo sasa huyo ana sifa hizo! Mimi ni mrefu tena above the wastani sasa mwanamke mfupi nakuwa namiangalia kwa chini! Sipendi.
Maishapopote alifanya nini? Sio vibaya tukajifunzaPole Yona...Sijajua kwanini Pasco Haongeli kuhusu Huyu Jamaa, MUNGU amjalie huko alipo..hatuwezi kuhukumu mtu ila kuna mambo alitufanyia yameathiri maisha yetu hadi leo..hapa JF alikua anaitwa Shy..ila MUNGU Atamhukumu kama sisi wengine..bro uliniachia maumivu sitakaa niyasahau...mpaka leo kwa tukio ulilonifanyia..ningekua mjinga ningejiua...ila nashkuru sikukupa hela uliyoitaka..na damage done...ila MUNGU akurehemu na akusamehe dhami zako na ulale pema peponi nilishasamehege