Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,933
hiyo ego ndo inawafanya mjiue sasidhani ukiona ndoa ina matatizo miaka 4 ujue shida ni kubwa inawezekana ameshatoa malalamiko mpaka kwa ndugu ikashindikana.....kuna mambo mengine huwezi ongea hata kwa marafiki wa karibu badala ya kukusaidia watakucheka tu unaweza kumueleza rafiki yako wa karibu shida za ndoa yako akaishia kukutangaza na kukucheka