Yericko Nyerere azindua Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi

Watanzania tuna wivu fulani hivi ( sio wa kike wala wa kiume)
yaani mtu akionesha bidii ama jitihada za kutoka sehemu moja kwenda nyingine lazima mijitu itafute sbabau ya kumkosoa au kumshusha.
Lakini angefanya mzungu, majitu hayohayo yangeanza kupiga makofi. Ndio maana hapa Tz ukitaka kuchukiwa na watu, pata kazi au anzisha kitu cha kukupa mafanikio.
 
Hongera kwa kuandika kitabu Yeriko lakini hiyo bei ni kubwa mno Tshs (15,000-20,000) ingekuwa bei nafuu sana kwa wasomaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom