YATOKANAYO na taarifa za kamati mbili za makinikia ni kusaka fidia!

Jibu khoja kwanza. Khoja 12 hata hujazisoma
 
Naombeni fb user name ya huyu kafumu na dr. Wa muhimbili (wa-paaale)
 
Ndiyo hawa maprofesa uchwara walichofanya. Kilichonishangaza zaidi ni mnikulu kukubali kuingizwa kingi na ripoti feki yenye kuhatarisha masilahi mapana ya taifa
 
sasa wew unataka kupata wapi data kamili wakati kila kitu kilikuwa kilifojiwa. rushwa upofusha macho na masikio
 
hoja 1 mpaka 4 ni upotofu wako kwa sababu hizo hatua xilizofanyika za kitaalamu wewe ni layman
Kitaalamu ni kupendekeza hisia zitumike kushtaki watu kwenye makosa ya jinai. Kama unaamini sheria ya ushahidi nitajie kifungu chake tumalize ubishi
 
Nyerere alifanya maamuzi magumu na umasikini uliongezeka. Endelea kuomba ili usisikitike ukajikuta maombi yako yamekubaliwa
 
Karamagi utetezi wake ni kuwa alikuwa anatekeleza maamuzi ya baraza la mawaziri
 
kaka CCM ni wanafiki shetani akasome Cambridge
Leo wanakwambia lissu ndiye msaliti namba moja wa taifa kana kwamba lissu ndiye aliyekuwa rais wa awamu ya pili au tatu
kuishabiki CCM yahitaji ujasiri kuvaa jezi ya Barcelona Saudi Arabia
 
Lissu aliwahi kuhoji haya?
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama. Acha kujifanya unajua wakati hujui. Ni kheri ukakaa kimya. Unamaana yoyote ya uharaka kutoa maneno hayo yenye vijembe na dharau. Sisi tupo kwenye vita wewe unaleta mbwembwe za kipumbavu. Shenzi type
 
I wish life was that easier! Hauna ushahidi na ushahidi uliopo tena Wa maandishi unakusuta khalafu utegemee ulambwe migu.

Ndoto huwa tunaota lakini ya design hii hapana umezidisha kipimo.
 
Hivi mnakumbuka kuna mkuru alipewa au kuzawadiwa tofali la dhahabu ikulu? sasa ndio mnataka mikataba ikajadiliwe na akina Chenge, Ridhiwani, Mama Kikwete? haya mimi yangu macho na masikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…