Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
- Thread starter
- #41
Anajua hana ubavu wa kisheria na wale watamwambia hakuna cha kuongea ila kuchapa kazi tuJamaa mwishoni tukajua ataifuta kumbe kawaomba wakae chini waongee
Anajua hana ubavu wa kisheria na wale watamwambia hakuna cha kuongea ila kuchapa kazi tuJamaa mwishoni tukajua ataifuta kumbe kawaomba wakae chini waongee
Jibu khoja kwanza. Khoja 12 hata hujazisomaTatizo lako unajifanya kuwatetea Wazungu wkt Wazungu wenyewe wanaona wamefanya makosa ila wewe house nigga unajifanya unawajua sana, unafikiri Mzungu atakaa kimya kama anaonewa? Sasa hivi tayari Balozi zao hapa nyumbani zingeshaingilia kama kweli wangekuwa innocent kama wewe house nigga unavyojaribu kuwatetea, Bomboclat!
Pesa kwa ushahidi upi?Ametoa masharti walipe Fedha zetu, vinginevyo hakutakua na mazungumzo
Ndiyo hawa maprofesa uchwara walichofanya. Kilichonishangaza zaidi ni mnikulu kukubali kuingizwa kingi na ripoti feki yenye kuhatarisha masilahi mapana ya taifaBila kuzunguka zunguka... katu hayawezi kuwa sawa! Kwanza, makinikia ya Buzwagi yalianza kuzalishwa almost 10 years baada ya kuanza kwa Bulyanhulu!
Anyway, sitasema sana kwa sababu sijasikiliza hiyo ripoti lakini kama walichukua yale makontena 277 wakazidisha kwa miaka yote hayo uniformly basi watakuwa wame-mislead watu!!!
Hapo juu umeandika nini au umechanganyikiwa hujielewi umesahau hata ulichopostKivipi?
Ya kwako iko wapi? Labda tuanzie hapo uliposoma uliona niniMkuu ninakufahamu hii si akili yako, hebu rudia taratibu uone ulicho andika...
Kitaalamu ni kupendekeza hisia zitumike kushtaki watu kwenye makosa ya jinai. Kama unaamini sheria ya ushahidi nitajie kifungu chake tumalize ubishihoja 1 mpaka 4 ni upotofu wako kwa sababu hizo hatua xilizofanyika za kitaalamu wewe ni layman
Nyerere alifanya maamuzi magumu na umasikini uliongezeka. Endelea kuomba ili usisikitike ukajikuta maombi yako yamekubaliwaNakuombea Mh. Magufuli fanya maamuzi magumu ili Tanzania ya kesho ineemeke. Ndugu wanaokosoa hatua zinazochukuliwa si watanzania, lazima tuwe na shaka nao mimi nafarijika na uthubutu wako, wengine walipita na wakaacha, na wengine walithubutu hata kusema ni vita kubwa wakaogopa kuchukua hatua
Karamagi utetezi wake ni kuwa alikuwa anatekeleza maamuzi ya baraza la mawaziriAkina Karamagi watasumbuliwa tu ila mwisho wa siku wataachwa waendelee kuenjoy fedha walizotupiga . Unadhani hii haitawagusa JK na Ben Mkapa?Bahati mbaya sana JPM alishasema "waachwe wajipumzikie tu na atawalinda"
Nadhani kuliko kupoteza muda kutafuta nchawi, tuelekeze nguvu kwenye kuifumua mikataba yote ya kinyonyaji kwa kunegotiate terms mpya. Tuanze na huu wa IPTL.
Wamekiri walichukua sampuri na kuzipeleka kwa mkemia mkuuMNA uhakika gani wamekadiria wakati kuna electromagnetic devices zinazoweza kupima vitu kama vile.
Wamesema wamekadiria?
Unamfahamu aliyeleta andishi hilo kama ni layman?hoja 1 mpaka 4 ni upotofu wako kwa sababu hizo hatua xilizofanyika za kitaalamu wewe ni layman
Kwa kukumbusha kamati imesigina sheria ya ushahidi(2002) inapopendekeza jinai kwa kuhisihisi tu na ushahidi wa sampuriBila shaka ww utakua moja ya vibaraka wa hawa wazungu wanyonyaji
kaka CCM ni wanafiki shetani akasome CambridgeMkwawe: Hivi hii mikataba na sheria bovu za madini huwa hazijadiliwi kwenye baraza la mawaziri? Je, Karamagi na wengineo walitekeleza yote haya bila idhini ya serikali? Bila idhini ya baraza la mawaziri? Nakumbuka Zitto alifukuzwa enzi za Karamagi kwa kuhoji hayahaya na watoa hoja ya kumuwajibisha Zitto kwa kuhoji mikataba kusainiwa hotelini Uingereza walikuwa ni wabunge wa CCM wakiongozwa na Mudhihiri Mudhihiri. Leo wanajiuliza eti tumelogwa na nani? Jibu ni kwamba tumelogwa na CCM.
Weledi wako uko wapi kwenye hili zaidi ya kumiminika povu?sio lazma uchambue kama hujui vzuri.....usijitie werevu mkuu...
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama. Acha kujifanya unajua wakati hujui. Ni kheri ukakaa kimya. Unamaana yoyote ya uharaka kutoa maneno hayo yenye vijembe na dharau. Sisi tupo kwenye vita wewe unaleta mbwembwe za kipumbavu. Shenzi typeLissu aliwahi kuhoji haya?
I wish life was that easier! Hauna ushahidi na ushahidi uliopo tena Wa maandishi unakusuta khalafu utegemee ulambwe migu.Tuchukue Container Zote 277 twende tu kafanye smelting halafu tuwape ACacia hizo 79.8 billion zao iliyobaki yetu tusigombane nao tuwaage pia tuunde Time ya Reconciliation and Truth kwa akina Change na wenzao atakae kuja kwenye Kamati na kueleza ukweli wrote Wa makosa aliyofanya atupe hela zetu tumsamehe asirudie tena kwenye uongozi tuige alichofanya Mandela kupitia Bishop D Tutu SA
Hivi mnakumbuka kuna mkuru alipewa au kuzawadiwa tofali la dhahabu ikulu? sasa ndio mnataka mikataba ikajadiliwe na akina Chenge, Ridhiwani, Mama Kikwete? haya mimi yangu macho na masikioAkina Karamagi watasumbuliwa tu ila mwisho wa siku wataachwa waendelee kuenjoy fedha walizotupiga . Unadhani hii haitawagusa JK na Ben Mkapa?Bahati mbaya sana JPM alishasema "waachwe wajipumzikie tu na atawalinda"
Nadhani kuliko kupoteza muda kutafuta nchawi, tuelekeze nguvu kwenye kuifumua mikataba yote ya kinyonyaji kwa kunegotiate terms mpya. Tuanze na huu wa IPTL.
Hahaha kwahyo jamaa ni wind vane?Wewe nyumbu utakuwa umetumwa kupima upepo si bure