Chama chenu si kile cha sheria na mikataba feki?
Ni kile dume
Chama chenu si kile cha sheria na mikataba feki?
Kweli kabisa, kwa kupokea pesa toka kwa watu wasiojulikana, jail inawangoja. Ila kwa kusema haya kama nayoyasema...NOOOOOO.Kuna watu jela inawangoja
Mleta mada anashangaa,wananchi wanashangaa,raisi pia anashangaa mzee butiku nae anashangaaa, cheyo yuko mdomo wazi taifa linashangaa.Kuna watu jela inawangoja
Tumepigwa ganzi taifa lote.......R
Mleta mada anashangaa,wananchi wanashangaa,raisi pia anashangaa mzee butiku nae anashangaaa, cheyo yuko mdomo wazi taifa linashangaa.
Sasa kama tume ya wataalam wa sheria na uchumi imefanya search.....imekuja na majibu hayo..kwamba accacia hawakusajiliwa ....ww unabisha nini ......siajabu hata Brela hupajui.....ubishi mwingine ni wa kitoto sana...Kwamba ACACIA, wamekuwa wakiendesha shughuli zao illegally tangu 1998. Maswali ya kujiuliza hapa ni haya: Kwa nini wamekuwa wakiendesha shughuli zao bila kusajiliwa kwa kipindi chote hicho, ilihali vyombo vinavyohusika na usajili vipo, na wafanyakazi wake wanalipwa mishahara kwa kodi zetu? Na serikali imekuwa inapokeaje tozo mbalimbali toka ACACIA, yaani kwa vipi serikali imekuwa inapokea malipo/pesa toka kwa watu wasiojulikana?
Naweka kalamu yangu chini.
Well said Mkuu, ACACIA wao walitumia mgongo wa Makampuni ya awali yenye usajili baada ya kubadili jina hawakupata "certificate of compliance" ndio shida ilipo mkuuTume au Kamati ya Rais inasema hiyo inaweza kutoka Tanzania tu.
Barrick na Sasa Acacia walitumia Mgongo wa kampuni za hiyo migodi ambazo zenyewe zimesajiliwa.
Ambazo ni Bulyanhulu Gold mine,Buzwagi Gold mine na North Mara Gold mine
Huo Ni ujanja wa chama tawala,tukisema ovyooo,haina ladha,Ni ujinga wa mwisho,imekuwa kama mama,anaezaa watoto nje ya ndoa.huo Ni ukweli,na ukweli Mara nyengine unauma,mtanisaidia hapo kwa wenye fahamu zao.Kwamba ACACIA, wamekuwa wakiendesha shughuli zao illegally tangu 1998. Maswali ya kujiuliza hapa ni haya: Kwa nini wamekuwa wakiendesha shughuli zao bila kusajiliwa kwa kipindi chote hicho, ilihali vyombo vinavyohusika na usajili vipo, na wafanyakazi wake wanalipwa mishahara kwa kodi zetu? Na serikali imekuwa inapokeaje tozo mbalimbali toka ACACIA, yaani kwa vipi serikali imekuwa inapokea malipo/pesa toka kwa watu wasiojulikana?
Naweka kalamu yangu chini.
Makaburi yote yafukuliwe tu. tusichague makaburi ya kufukua na Watanzania sote tuwe tayari kusaidiana kuyafukiaAkina Karamagi watasumbuliwa tu ila mwisho wa siku wataachwa waendelee kuenjoy fedha walizotupiga . Unadhani hii haitawagusa JK na Ben Mkapa?Bahati mbaya sana JPM alishasema "waachwe wajipumzikie tu na atawalinda"
Nadhani kuliko kupoteza muda kutafuta nchawi, tuelekeze nguvu kwenye kuifumua mikataba yote ya kinyonyaji kwa kunegotiate terms mpya. Tuanze na huu wa IPTL.