Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Hili kombe la kwetu mara hii.tulieni TUMPE support Lwandamina
Zawadi kwa M/kitiWakimataifa kazini...haishangazi saaaaana.
Ushindi jadi yetu.
Zawadi Mujaarab kabisa.Zawadi kwa M/kiti
Kichwa kina shida kidogo? hujaelewa nini? unataka timu zote ziitwe Yanga? soma kichwa cha habari na habari yenyewe.Ngaya = Yanga otherwise specified
Yeye ni SimbaZawadi Mujaarab kabisa.
Makonda anaona wivu sana kuona Yanga ipo juu,figisu zake hazituathiri kwa chochote.
Inategemea wanaosema ni watu wa aina gani. Huenda ikawa anayemuita mwenzake yeye ndio akawa msukuleKumbe wasemavyo mashabiki wa mpira nchini kuwa mashabiki wa Yanga ni Misukule tu, ni kweli.
Hahahaaa sawa mkuu acha vibonde wapigwe tu.Ili iweje?
Acha wapigwe tu sasa maana hakuna namna.
Yanga wakaripoti kwa makondaYanga wanacheza na timu ambayo ukipindua herufi inaitwa Yanga. Tunaiomba serikali ya mkoa ichunguze kama sio tawi lao.
Jecha kafanya yakweGooooooo.
Yanga 5 Kamusoko.
Ngaya1-5Yanga.
Ndiyo maana nimesema mashabiki wa yanga ni sawa na Misukule....kwani toka wewe uzaliwe mpaka hapa ulipofika Yanga imefanya nini cha maana kimataifa Zaidi ya wao kuwa wasindikizaji? Nasubiri jibu lako.